Kidato cha Kwanza Aripoti Shule na Chopa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
CHOPPER7.jpg

Hapo ni kwa Mzee ya kisumu. Hiyo Dogo ndie aliyeongoza kwenye mtihani kwa kupata maksi 372. Alafu wazazi wake wakakosa pesa za kumpeleka shule , hivyo kikundi cha marubani Wa zamani, wakajitolea msaada Wa kumpeleka shule pamoja na kumlipia ada.
 
Ndo maana tunajenga aerodrome wananchi wafike kwa urahisi shuleni kwa chopa na ndege ndogo binafsi
 
Hapo ni kwa Mzee ya kisumu. Hiyo Dogo ndie aliyeongoza kwenye mtihani kwa kupata maksi 372. Alafu wazazi wake wakakosa pesa za kumpeleka shule , hivyo kikundi cha marubani Wa zamani, wakajitolea msaada Wa kumpeleka shule pamoja na kumlipia ada.
Thanx
 
Bora wewe umeeleza mapema, maana huyu mwanzisha mada angeongeza hasira kwny hotuba ya shinyanga
 
Back
Top Bottom