Kick ya Madini na Picha za Tundu Lissu

Ha ha ha,mi nashangaa mnabishana nini,wakati mda utatwambia,

si mwezi ujao tunaanza kuingiza asilimia 50 ya faida ya migodi yote ya barrick,

tutaisha kama macelebrite wa califonia,
just wait
Kwani unadhani kule Mwadui hatuna share?

Bora wewe unajitambuwa siku hizi ccm wenzako wanaishi kama maiti, kufuta tongotongo ulaya kumekusaidia, na ukionja nguruwe huko hata ule ujahidina wako utaacha.
 
Kick ya madini jana imetumika kuzima mjadala wa afya na picha za tundu lisu

Wana JF, Hakuna kisichopangwa ile trend ya habari za lissu iliwashutua sana mamlaka wakaamua kulazimisha timu ya majadiliano wafike mwisho au hitimisho.
Ndio maana Taita mwenyewe ze Big boss amekiri mwenyewe kuwa walipofika pale kwenye press bado walikaa masaa matatu kujadiliana wafikie muafaka.
Mawasilisho au presentation itakayofanywa na wale wakata umeme kwenye Board ndio itatoa jibu kamili

Ndio maana pale kwenye press kundi kubwa la wajumbe hawakuwepo ile ilikuwa dharula
Mamlaka imesoma upepo ulivyokuwa unavuma umeona kama mtu yule wa Nairobi ataharibu Front page za habari hivyo wameamua kuzima zile picha kwa kick ya madini kitu ambacho hakitasaidia
Ni rahisi kuficha uwongo kuliko kuficha ukweli, Ukweli unajidhihirisha kwa time factor, kila muda unapoenda ukweli hujulikana,
Cha kusikitisha mkalimani alitafsiri maongezi ya Thorton yaliyolazimishwa ndani ya masaa matatu lakini yale ya Kiswahili hayakutafsiriwa kwenda Kiingereza weka kiulizo kwanini? Mmmh au zilikuwa chai kutufurahisha
Kweli kabisa mkuu. Naona hawa jamaa wamejipanga kuja kutusahaulisha issue ya Tundu Lissu kwa hadithi za makinikia.
 
2017-10-20-11-18-41-.jpg
 
kama hawatalipa wanaondoka. Kwani lazima wachimbe huku nchi ikiwa maskini nyie vipi? watu washabiki wa vitu hawajui.
 
Najiuliza:-
a) ACACIA hawajasema wamefuta ile kesi yao waliosema wamefungua dhidi ya serikali yetu.
b) ACACIA walishasema na jana wamesema tena kwamba hata kama Barrick ikikubaliana na sisi ni lazima wao waridhie kwanza ndipo mambo yaendelee. Wasiporidhia tutafanyaje?
c) Barrick wamesema japo wamekubaliana ni lazima KWANZA wenyehisa wao wakuu watoe kibali kwanza.Wanahisa wakikataa itakuwaje?
d) Kama ACACIA (ambayo ni kampuni tofauti na Barrick - hata kama Barrick ana hisa nyingi ndani yake) ikikataa makubaliano yetu na BARRICK tunalo la kufanya?e)
e) Baada ya kukubali bilioni 700 kati ya zaidi ya trilioni 420 tunazodai, Barrick wakikataa kuongeza chochote kwenye hayo malipo tutakuwa na la kufanya?
 
Hapo ulipo umekunywa supu ya maharage na maandazi matano, halafu fukara kama wewe ndio umpe mtu offer ya Heineken wakati wewe mwenyewe Barimi ndio zinakutowa?
wewe hujielewi, Subiri mteja mwingine wa chama chenu ili mpate mgao mpya, hizi alizokusanya Nairobi hagawii mtu, juwa tu wenzio hatuko type hiyo
 
A
Kick ya madini jana imetumika kuzima mjadala wa afya na picha za tundu lisu

Wana JF, Hakuna kisichopangwa ile trend ya habari za lissu iliwashutua sana mamlaka wakaamua kulazimisha timu ya majadiliano wafike mwisho au hitimisho.
Ndio maana Taita mwenyewe ze Big boss amekiri mwenyewe kuwa walipofika pale kwenye press bado walikaa masaa matatu kujadiliana wafikie muafaka.
Mawasilisho au presentation itakayofanywa na wale wakata umeme kwenye Board ndio itatoa jibu kamili

Ndio maana pale kwenye press kundi kubwa la wajumbe hawakuwepo ile ilikuwa dharula
Mamlaka imesoma upepo ulivyokuwa unavuma umeona kama mtu yule wa Nairobi ataharibu Front page za habari hivyo wameamua kuzima zile picha kwa kick ya madini kitu ambacho hakitasaidia
Ni rahisi kuficha uwongo kuliko kuficha ukweli, Ukweli unajidhihirisha kwa time factor, kila muda unapoenda ukweli hujulikana,
Cha kusikitisha mkalimani alitafsiri maongezi ya Thorton yaliyolazimishwa ndani ya masaa matatu lakini yale ya Kiswahili hayakutafsiriwa kwenda Kiingereza weka kiulizo kwanini? Mmmh au zilikuwa chai kutufurahisha
kili nyingi mbele Giza. Kufikiria nje ya box huwa ni kitu kizuri kiuchambuzi but sometimes inatusababishiaga kupata koroma baada ya kutaka kuchagua sana nazi.
 
Jpm anajua kuwazima vizuri na mihemko yenu ya kijinga
Siku akisikia yule bwana Nairobi anaita Press conference nadhani tutaambiwa haturuhusiwi kwenda kwenye shughuli zetu na umeme utakatwa kabisa, Episode hizi zimezidi sasa
 
Kick ya madini jana imetumika kuzima mjadala wa afya na picha za tundu lisu

Wana JF, Hakuna kisichopangwa ile trend ya habari za lissu iliwashutua sana mamlaka wakaamua kulazimisha timu ya majadiliano wafike mwisho au hitimisho.
Ndio maana Taita mwenyewe ze Big boss amekiri mwenyewe kuwa walipofika pale kwenye press bado walikaa masaa matatu kujadiliana wafikie muafaka.
Mawasilisho au presentation itakayofanywa na wale wakata umeme kwenye Board ndio itatoa jibu kamili

Ndio maana pale kwenye press kundi kubwa la wajumbe hawakuwepo ile ilikuwa dharula
Mamlaka imesoma upepo ulivyokuwa unavuma umeona kama mtu yule wa Nairobi ataharibu Front page za habari hivyo wameamua kuzima zile picha kwa kick ya madini kitu ambacho hakitasaidia
Ni rahisi kuficha uwongo kuliko kuficha ukweli, Ukweli unajidhihirisha kwa time factor, kila muda unapoenda ukweli hujulikana,
Cha kusikitisha mkalimani alitafsiri maongezi ya Thorton yaliyolazimishwa ndani ya masaa matatu lakini yale ya Kiswahili hayakutafsiriwa kwenda Kiingereza weka kiulizo kwanini? Mmmh au zilikuwa chai kutufurahisha
Lisu ni nani hasa ? Mbona ananyima watu usingizi? Big area small pressure.Huyo ni mmoja tu. Je kungekuwa na kina Lisu wengi hali ingekuaje?
 
Man is this true?

Sikuona kwenye video, lakini kama hiki ndicho kilichotokea will be so disappointed.

kweli rudia ile video mie nilikua naangalia kwa azam two waliokua wakirusha kupitia tbc...
baada ya mzungu kumaliza ongea..... msigwa alimkaribisha kabudi.... yule mpambe wa rais alinongonezwa jambo akamfata yule jamaa pale mbele akamueleza kitu... yule jamaa akarudi kukaa
 
Taarifa ya jioni hii wamegoma kulipa ilikuwa kiki
 
Naona magazeti ya leo yameumbua ile kick ya juzi, Acacia wamegoma kulipa
 
Kick ya madini jana imetumika kuzima mjadala wa afya na picha za tundu lisu

Wana JF, Hakuna kisichopangwa ile trend ya habari za lissu iliwashutua sana mamlaka wakaamua kulazimisha timu ya majadiliano wafike mwisho au hitimisho.
Ndio maana Taita mwenyewe ze Big boss amekiri mwenyewe kuwa walipofika pale kwenye press bado walikaa masaa matatu kujadiliana wafikie muafaka.
Mawasilisho au presentation itakayofanywa na wale wakata umeme kwenye Board ndio itatoa jibu kamili

Ndio maana pale kwenye press kundi kubwa la wajumbe hawakuwepo ile ilikuwa dharula
Mamlaka imesoma upepo ulivyokuwa unavuma umeona kama mtu yule wa Nairobi ataharibu Front page za habari hivyo wameamua kuzima zile picha kwa kick ya madini kitu ambacho hakitasaidia
Ni rahisi kuficha uwongo kuliko kuficha ukweli, Ukweli unajidhihirisha kwa time factor, kila muda unapoenda ukweli hujulikana,
Cha kusikitisha mkalimani alitafsiri maongezi ya Thorton yaliyolazimishwa ndani ya masaa matatu lakini yale ya Kiswahili hayakutafsiriwa kwenda Kiingereza weka kiulizo kwanini? Mmmh au zilikuwa chai kutufurahisha
Ndio mana wameangukia pua..
 
Hata kama ni mahaba kwa Lissu siyo hivyo!!!! Yaani issue ya kitaifa kama Ile wewe unakuja na ujinga wa ufipa kuwa ilikuwa kutuliza watu wasihadili "picha"!!! Una akili timamu kweli!?!
Sasa mbona mna danganya watu. .
Serikali hii ingekuwa ya mfano lakini mambo yake ya gilba gilba ndio inaonekana hewa tu.
 
Kick ya madini jana imetumika kuzima mjadala wa afya na picha za tundu lisu

Wana JF, Hakuna kisichopangwa ile trend ya habari za lissu iliwashutua sana mamlaka wakaamua kulazimisha timu ya majadiliano wafike mwisho au hitimisho.
Ndio maana Taita mwenyewe ze Big boss amekiri mwenyewe kuwa walipofika pale kwenye press bado walikaa masaa matatu kujadiliana wafikie muafaka.
Mawasilisho au presentation itakayofanywa na wale wakata umeme kwenye Board ndio itatoa jibu kamili

Ndio maana pale kwenye press kundi kubwa la wajumbe hawakuwepo ile ilikuwa dharula
Mamlaka imesoma upepo ulivyokuwa unavuma umeona kama mtu yule wa Nairobi ataharibu Front page za habari hivyo wameamua kuzima zile picha kwa kick ya madini kitu ambacho hakitasaidia
Ni rahisi kuficha uwongo kuliko kuficha ukweli, Ukweli unajidhihirisha kwa time factor, kila muda unapoenda ukweli hujulikana,
Cha kusikitisha mkalimani alitafsiri maongezi ya Thorton yaliyolazimishwa ndani ya masaa matatu lakini yale ya Kiswahili hayakutafsiriwa kwenda Kiingereza weka kiulizo kwanini? Mmmh au zilikuwa chai kutufurahisha
Hamtakaa mshike dola kwa akiri kama hizi za kenge kuvuka mto
 
Back
Top Bottom