Kick nyingine Mmh

Kuna nyimbo yake flani hivi anasifia freemason aliitoa kipndi flani mara kuna mwanamke yumo ndani ya sink la damu an etc...nyimbo zake ukizisikiliza vyema utagundua Ney ana maudhui flani hivi ya mashairi yasiyo na Mungu wa Mbinguni ndani yake but huyu mungu wa duniani, me nlimfuatilia tangia ngoma yake ya kwanza aliyoshirikishwa na binti flani hivi mpaka ya wamepanda wameshuka an etc...
 
Watanzania wengi huwa tukiona makaburi tunapata hisia za kimajini, mapepo uchawi....tu.

Hiyo picha ya kwenye graveyard inaweza kuwa na maana pana zaidi na tafsiri pana.

Huko kuna vitabu vingi ambavyo havijawahi kuandikwa.
Kuna nyimbo nyingi sana ambavyo hazijawahi kuimbwa....graveyard can be the richest place on the planet.
 
ile watoto wa mjini tulishamuelewa, ney anacheza na akili za watu, lakini tushamuelewa nini anafanya - anatulazimisha kuhamisha Magoli!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…