Kichwani sina kitu

Kichwani sina kitu

libent

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
382
Reaction score
89
Hivi ulishawahi kujihisi kama kichwa hauna kitu. Mwenzenu leo nimejiona kama vile sina kitu.
 
Kwahyo 2seme wewe kichwan mwako hauna ubongo?lipo kopo 2,wewe co binadamu kabsa wewe ni jini.
 
tukusaidieje? hapa ndio home of great thinkers, just learn from them.
 
Kwahyo 2seme wewe kichwan mwako hauna ubongo?lipo kopo 2,wewe co binadamu kabsa wewe ni jini.

Naona kama napoteza direction ubongo wangu nahisi umestack
 
Unapofikia hatua ya kuona huwezi tena kuwaza kitu na kukipambanua

Siyo kigezo pekee cha kujiona huna akili. Halafu kwa nini umeamua kabisa kuanzisha uzi wa wewe huna kitu hujui maneno yanaumba?
 
Inatokea mind to go blank. Ukiona hivo ujue akili imechoka unahitaji kuipumzisha kwa vitu visivyotumia akili kama movie au mziki au utoke ukazurure ushangae shangae vitu
 
Inatokea mind to go blank. Ukiona hivo ujue akili imechoka unahitaji kuipumzisha kwa vitu visivyotumia akili kama movie au mziki au utoke ukazurure ushangae shangae vitu

Thanks kwa kunielewa JS
 
Duhhhh ..pole ..
Lakini sijakupata vizuri huna kitu ukimaanisha
Huna akili? Au huwazi kitu ..
 
Back
Top Bottom