Kichwa kutoa mfereji kwa mtoto

Kichwa kutoa mfereji kwa mtoto

Mimi mwanangu kichwa kilikuwa kama mada ilivyojieleza nilitumia kila njia niliyoambiwa ikiwemo mizizi,kumpigapiga na uume asubuhi,nikaon kama havisaidii. Nikaachana navyo baadae amekuja kuwa poa tu,sasa sijui hii njia ndizo ilisaidia au ni chenyewe tu kimekuja kukaa sawa ndio mtihani. Cha msingi tumia kila njia unayoambiwa ambayo haimdhuru mtoto. Ila usitumie gharama kubwaaaa!! Mana njia zote za kienyeji si expensive sana Utapoteza bure,Naamini atakaa sawa tu!
Hatari sana .

Haya mambo
 
Back
Top Bottom