nasikia inaitwa "nzasa" tiba siijui ila hii mambo ipo kienyeji zaidi
Hili tatizo halitibiwi hospital, sisi wazazi huwa tunamchapa nao kichwani asubuhi kabla ya morning glory. Na ndani ya masaa 36 kijana anakua poa kabisa...😎😎
Wangu alikuwa na tatizo hilo pia lakin kwa sasa yupo safi na sikuwah kutumia dawa yoyote ile. Niliambiwa tu atakuwa safiHabari zenu ndg,jamaa na marafiki katika JF,
Hivi ni nini tiba ya mtoto ya kuondoa mfereji kwenye kichwa cha mtoto maana mtoto wangu ana hilo tatizo,yaani bonde limeanzia kwenye paji la uso hadi kwenye utosi.
Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana,wengine wanasema nitumie dawa inayoitwa kasuku,wengine nitwange matembele kisha nichanganye na mafuta ya ng'ombe, mara maji na mbegu za nyanya lakini vyote havijasaidia kabisa na hospitali hakuna dawa yoyote ya kutibu tatizo hilo.
Watu wengine wanasema mtoto akiwa na tatizo hilo hawezi kunenepa na kupata afya nzuri lakini pia huenda kichwa kikawa kama kimegawanyika,naomba ushauri wenu nifanye nini ili mwanangu apone?
Wangu alikuwa na tatizo hilo pia lakin kwa sasa yupo safi na sikuwah kutumia dawa yoyote ile. Niliambiwa tu atakuwa safi
Hii hali inawatokea watoto chin ya miaka miwili ivi
kisayansi sijui ila uswazi wanasema tiba ni baada ya show unamchora msalaba dogo kwenye kichwa ukitumia dudu bila kulifutaInasababishwa na nini mkuu?
kisayansi sijui ila uswazi wanasema tiba ni baada ya show unamchora msalaba dogo kwenye kichwa ukitumia dudu bila kulifuta
Duh sijaelewa apo
nasikia inaitwa "nzasa" tiba siijui ila hii mambo ipo kienyeji zaidi
Kipindi yupo chin ya miaka miwili ilikuwa inatokea tu kuanzia karibia na macho katikati (paji la uso) mfereji mpana iv unaingia ndani mpaka kwenye utosi baada ya muda unapotea ni kitendo kilichokuwa kinatokea mara nyingi tu na ukibonyeza ni laini sana but tukawa na mashaka lakin madoctors wakasema litapotea.
Chango kwa uelewa wangu ni tumbo la mtoto kupata maumivu hasa gesi hii inaweza kuwa inasababishwa na maziwa na likichafuka hamlali usingizi lakin ni miez mitatu mpaka sita ivi baada ya kuzaliwa then linakataWengine wanasema kuwa tatizo hili husababishwa na 'chango' la mtoto. Na hilo chango sijuwi ndiyo kitu gani.
amini.....ila hawa watoto wanakuwa na akili sana baadae....Mmh mkuu upo serious?
Hata MimiWangu alikuwa na tatizo hilo pia lakin kwa sasa yupo safi na sikuwah kutumia dawa yoyote ile. Niliambiwa tu atakuwa safi
Hii hali inawatokea watoto chin ya miaka miwili ivi
Mimi mwanangu kichwa kilikuwa kama mada ilivyojieleza nilitumia kila njia niliyoambiwa ikiwemo mizizi,kumpigapiga na uume asubuhi,nikaon kama havisaidii. Nikaachana navyo baadae amekuja kuwa poa tu,sasa sijui hii njia ndizo ilisaidia au ni chenyewe tu kimekuja kukaa sawa ndio mtihani. Cha msingi tumia kila njia unayoambiwa ambayo haimdhuru mtoto. Ila usitumie gharama kubwaaaa!! Mana njia zote za kienyeji si expensive sana Utapoteza bure,Naamini atakaa sawa tu!