Chris Kamlenga
Member
- Oct 17, 2017
- 30
- 35
Habari zenu ndg,jamaa na marafiki katika JF,
Hivi ni nini tiba ya mtoto ya kuondoa mfereji kwenye kichwa cha mtoto maana mtoto wangu ana hilo tatizo,yaani bonde limeanzia kwenye paji la uso hadi kwenye utosi.
Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana,wengine wanasema nitumie dawa inayoitwa kasuku,wengine nitwange matembele kisha nichanganye na mafuta ya ng'ombe, mara maji na mbegu za nyanya lakini vyote havijasaidia kabisa na hospitali hakuna dawa yoyote ya kutibu tatizo hilo.
Watu wengine wanasema mtoto akiwa na tatizo hilo hawezi kunenepa na kupata afya nzuri lakini pia huenda kichwa kikawa kama kimegawanyika,naomba ushauri wenu nifanye nini ili mwanangu apone?