Aah Salamu kitu gani bana! Iko hivi, nipo Dar hapa , nina mpenzi yupo Mkoa wa Mara border,
Huyu manzi sasa nina mwezi nae tangu tujuane. Lakini kabla sijakutana nae, nilikua na manzi mwingine hapa hapa Dar, tena jirani yangu. Kiukweli kwa mmanzi wa Dar nilikua sigharamiki sana. Ikizidi sana 50k.
Sasa huyu wa Mkoa, Mamamamamamam kila nikimeet nae lazima 300k ipotee. Kwa kuhesabu tu..., Mpaka sasa tangu nimekutana nae, inakaribia milioni ndani ya mwezi tu.
Sasa Bwana, wiki jana aliniomba tukutane, amenimiss, nikamwambia sitaweza kufika huko cause ni mbali na kama ni nauli nipo tayari kukutumia ili wewe uje. Akasema hawezi kuja eti niende Mimi.
Sasa, nilichokifanya nikaamua kumtafuta huyu wa Dar, Na kumpa 100k bila kumfanya chochote, nikaondoka zangu.
Hapa nafikiria kuachana kabisa na mapenzi. Niendelee kutafuta pesa. Natamani kuwa na mke lakini aaaaah haya mambo sitaki kabisa,nimeyachoka kabisa.
Kwa mwenye ushauri tafadhali.