Kichwa kinawaka moto! Njooni mnisaidie kukizima

dah Million 1 kubwa aisee. Ghetto unakuta hauna ata Soundbar moja kali hafu unataka kuipa mbususu Mil.
Moyo unataka kupasuka mtu ananunua henessy million jombaa wewe hata dumu la maji uhai elfu 3 unakosa unaweza kujilaani, ila tusifike huko lizika na mapato yako
 
Mzee Baba kunywa maji mengi alafu tembea na fire extinguisher chukua tahadhari kabla ya hatari
 
Moyo unataka kupasuka mtu ananunua henessy million jombaa wewe hata dumu la maji uhai elfu 3 unakosa unaweza kujilaani, ila tusifike huko lizika na mapato yako
🤣🤣 unaweza jiona umekosea sehemu. Ngoja nitulie tu
 
Aah Salamu kitu gani bana! Iko hivi, ...nipo Dar hapa , nina mpenzi yupo Mkoa wa Mara border,

Huyu manzi sasa nina mwezi nae tangu tujuane. Lakini kabla sijakutana nae, nilikua na manzi mwingine hapa hapa Dar, tena jirani yangu.

Kiukweli kwa mmanzi wa Dar nilikua sigharamiki sana. Ikizidi sana 50k.

Sasa huyu wa Mkoa, .... Mamamamamamam ...kila nikimeet nae lazima 300k ipotee. Kwa kuhesabu tu..., Mpaka sasa tangu nimekutana nae , inakaribia milioni ndani ya mwezi tu.

Sasa Bwana, wiki jana aliniomba tukutane, amenimiss,....nikamwambia sitaweza kufika huko cause ni mbali na kama ni nauli nipo tayari kukutumia ili wewe uje. Akasema hawezi kuja eti niende Mimi.

Sasa, nilichokifanya....nikaamua kumtafuta huyu wa Dar..., Na kumpa 100k bila kumfanya chochote,...nikaondoka zangu.

Hapa nafikiria kuachana kabisa na mapenzi. Niendelee kutafuta pesa. Natamani kuwa na mke lakini aaaaah haya mambo sitaki kabisa...,nimeyachoka kabisa.

Kwa mwenye ushauri tafadhali.
Uhuni tu
 
Huyo wa Mara anafanya ishu gani maana na mimi nna mtu huko mara isijekua ni waume wenza ndgu yangu!??

Achana na mawazo ya kuoa kijana.
 
Aah Salamu kitu gani bana! Iko hivi, ...nipo Dar hapa , nina mpenzi yupo Mkoa wa Mara border,

Huyu manzi sasa nina mwezi nae tangu tujuane. Lakini kabla sijakutana nae, nilikua na manzi mwingine hapa hapa Dar, tena jirani yangu.

Kiukweli kwa mmanzi wa Dar nilikua sigharamiki sana. Ikizidi sana 50k.

Sasa huyu wa Mkoa, .... Mamamamamamam ...kila nikimeet nae lazima 300k ipotee. Kwa kuhesabu tu..., Mpaka sasa tangu nimekutana nae , inakaribia milioni ndani ya mwezi tu.

Sasa Bwana, wiki jana aliniomba tukutane, amenimiss,....nikamwambia sitaweza kufika huko cause ni mbali na kama ni nauli nipo tayari kukutumia ili wewe uje. Akasema hawezi kuja eti niende Mimi.

Sasa, nilichokifanya....nikaamua kumtafuta huyu wa Dar..., Na kumpa 100k bila kumfanya chochote,...nikaondoka zangu.

Hapa nafikiria kuachana kabisa na mapenzi. Niendelee kutafuta pesa. Natamani kuwa na mke lakini aaaaah haya mambo sitaki kabisa...,nimeyachoka kabisa.

Kwa mwenye ushauri tafadhali.
Wasilisha namba yake pm faster nikusaidie garama
 
Back
Top Bottom