KICHWA KINAUMA JAMANI.....naomba msaada!!!! si utani hata kidogo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KICHWA KINAUMA JAMANI.....naomba msaada!!!! si utani hata kidogo.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by juma sal, Apr 9, 2012.

 1. juma sal

  juma sal Senior Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jaman sitanii ktk hili tafadhili kama unauelewa naomba ushauri wako...kama hujui pita zako tu
  Nilikua na girl friend wangu miongoni mwa form six waliomaliza mwezi wa pili mwaka huu ktk shule flani hivi ya serikali.Tulikua mawasiliano kwa muda mrefu hivi mpaka ikafikia hatua nikatupa nyavu zangu nae akanasa vizuri kabisa na kua wapenzi lakini yeye akiwa shule iringa mm nikiwa chuo.Nilimuuliza historia yake kwny mahusiano akanijibua kua alikua bado na uschana wake(bikra) licha ya wanaume wengi kumtokea but yeye aliwatolea nje.Sasa kama mnavyojua mapenzi ya siku hizi nami nikaulizia mchezo akanikatalia kwasababu na hoja nyingi tu lakini nikazibomoa hoja zake zote kwa kutumia convicing power niliyonayo hatimae tulikubalia na kupanga siku ya gemu(hapo alikua ashamaliza shule nami niko likizo hivyo tulikua pamoja dar).Siku ya gemu sasa!!!!akaja geto kama kawaida zikaanza stor za hapa na pale mwisho nikaanza kupanda jukwaani sasa hapo ndipo kwny utata na panaponifanya kichwa kinauma!!!!wakati najaribu kuingiza iliingia kama naiingiza kwenye ndo tofauti na matarajio yangu kuhusu bikra lakini wakati nafanya hakukua na damu ila baada ya kumaliza nilizioona dam nyingi tu zimeharibu mashuka mpaka godoro!!Nilshangaa sana,ule uingiaji wa bila kipingamizi nikajiridhisha hakua bikra ila ile damu je ilitokawapi kama sio bkra?......kiukwl huyu bint hakuoneka muouga kama mabint wengine wenye bikra(nnauzoefu kidogo) ila kwa kesi hii ni utata.....naomba ushauri wako coz huyu binti nimemchunia toka siku hiyo kwa kua naamini amenidanganya sana ila bado sijiamini kwa msimamo wangu kutokana na utata ulijitokeza hapo juu.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Made in Taiwan hutoka hadi mvunguni mwa kitanda.

  Made in Hondurus, inafika hadi kwenye godoro.

  Made in China inachafua shuka tu.

  Made in Kwamnyamanyi, inatoa kokoto, hiyo unatumia ukiwa karibu na site ya Ujenzi tu.
   
 3. m

  mkulasabo Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana kwa maelezo yako inaonyesha huyo binti hakuwa na iyo bikira kama alivyo kueleza isipokuwa siku husika alikuwa pengine kwenye siku zake naye akaona atumie hiyo kama danganya toto kwako ,kwa maana mtu mwenye bikira anajulikana tu shuguli yake huwa pevu sana mpaka kufanya hilo tendo shukulu kwa kujua ukweli mapema
   
 4. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,321
  Likes Received: 6,671
  Trophy Points: 280
  Condom ulitumia!!au ulijiaminisha na sill ukaingiza timu bila jezi!!!maana hizo damu mmmh!!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  kwa utafiti wangu nimegundua unakibamia ambacho hakijakomaa....khaaa...yani uliingiza kama kwenye ndoo...?hii lazima uumwe kichwa sana....
   
 6. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  jamani preta mbona unamtisha hivyo kijana?
   
 7. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,321
  Likes Received: 6,671
  Trophy Points: 280
  ukiona hivyo yawezekana huyo dada naye ana baseni!!!kwa hiyo hata ukiwa na mkono utaelea tu!
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,316
  Trophy Points: 280
  prets yaani umenichekesha mno........yaani utetezi wa ndoo ndiyo kumsagia mzee masharubu......kuwa ni kibamia...............na mbona kamliza hadi shuka zimelowa...........damu nyekundu kibao................lol
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,316
  Trophy Points: 280
  hizi sasa ni kashfa tupu..............mungu ametuumba bila kasoro tuache kukashifiana hivyo.........lol
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,316
  Trophy Points: 280
  damu ni uhai sasa mwenzetu mashaka ya nini? kwanza usi umesema unampenda huyo binti sasa mwili wake unakuwashia nini? wewe chukua mzigo wako na wewe ndiyo kwanza umemjeruhi mtoto wa watu sasa unataka kum'mwaga kwa madai kuwa mashine yake ni kama ndoo...................lol acha kashfa wajamani
   
 11. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,454
  Trophy Points: 280
  Hahaha yani umenichekesha mpaka basi.
  I real enjoy your coments.
   
 12. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,454
  Trophy Points: 280
  Hahaha JF funga kazi yahitaji moyo kuomba ushauri unaweza jihisi wewe hauko sawa muda mwingine.
  Kibamia !!!!
   
 13. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ni kwamba she was relaxed,ndio maana ukaingia kwa urahisi...sio wote wenye bikira nanii zao ni ndogo wengine za kawaida,halafu bikira sio kigezo cha kuwa na mwenza,wewe sema kama hujampenda....sio kumtafutia sababu.sioni kwa nini kuwa nayo ama kutokuwa nayo ndio iwe sababu ya kumuacha....grow up.
   
 14. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Sasa wewe ndugu yangu mi sijakuelewa, hivi ulimpenda binti kama binti au ulipenda bikra?
   
 15. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Haaaaa haaaaa case kama hizo zimetokea:

  1. Ziku zake zilikuwa zinakaribia sana na tendo la kumuingilia lilitokea wakati huo huo siku zake zinapoonza

  2. Inawezekana kwa ustadi mkubwa aliweka damu ya kuku. Nasikia wengi wanaodanganya wana kamchezo hako. Wanakatumia ama kuwaambia wapenzi wao wasiotaka kuwapa kuwa wako MP na wanavaa pads na wasipoamini hata kuwaonyesha pad kumbe ni damu ya kuku. Wengine kuwadanganya wapenzi wao kuwa wao ni bikira ili akiona damu aamini.

  3. Huenda binti alikuwa bikira au hakuwa bikira. Kuwa Bikira maana yake hujaingiliwa na mwanaume. hata hivyo bikira ya mwanamke inaweza kuondolewa kwa sababu mbalimbali zikiwepo, michezo, maumbile, kujitia vitu ukeni nk nk.
   
 16. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,454
  Trophy Points: 280
  Ushauri wako umenipa funzo pia
   
 17. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160

  ...hii damu ya kuku ni uzushi mtupu...yaani mtu apate trouble ya kununua kuku.kumchinja atoe damu yake ajipake....ili tu kuavoid mechi....ngumu kuamini.
   
 18. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ndio ugonge like................................lol
   
 19. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,454
  Trophy Points: 280
  Daaah uwa napenda sana gonga lyk lakini mara nyingi nakuwa JF via kisimu hakuna option ya like hahaha
   
 20. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145

  Jestina, this is not a joke and a matter of fact si uzushi. Wale mabinti wazoefu wa mjini they can tell you.

  Kama alimdanganya kuwa ni bikira na amewanyima watu wanaume wote ni nini kigumu kumuaminisha mpenzi wake.

  Nasikia damu ya kuku haigandi wala haina harufu kama ya ng'ombe. So jamaa kiktu kiliteleza but alipoona damu kachanganyikiwa hajui kama binti alikuwa BIKRA, au Siku zake au ni nini.

  I know of 3 cases ambazo walitumia damu ya kuku.
   
Loading...