Kichwa changu kina nini? naombeni ushauri

Trial balance

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
202
159
Naombeni ushauri sina furaha na kichwa changu kwa ndani nimewahi kuwa na overstress za mda mrefu. Nina H parol pia ila ndani ya kichwa kama nimekalishiwa sufuria lenye chai ya moto yani ata sielewi kuna nini kichwani hii hali utokea sana usiku wakati wa kupumzika yani sielewi ndani ya kichwa ntakuwa na shida gani
 
Naombeni ushauri sina furaha na kichwa changu kwa ndani nimewahi kuwa na overstress za mda mrefu Nina H parol pia ila ndani ya kichwa kama nimekalishiwa sufuria lenye chai ya moto yani ata sielewi kuna nini kichwani hii hali utokea sana usiku wa kupumzika yani sielewi ndani ya kichwa ntakuwa na shida gani
Usipende kukaa pekee yako, changamana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni ushauri sina furaha na kichwa changu kwa ndani nimewahi kuwa na overstress za mda mrefu Nina H parol pia ila ndani ya kichwa kama nimekalishiwa sufuria lenye chai ya moto yani ata sielewi kuna nini kichwani hii hali utokea sana usiku wa kupumzika yani sielewi ndani ya kichwa ntakuwa na shida gani
Tafuta kitu unachokipenda kufanya fanya kwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kila nyuzi unafungua wewe japo tunafanana tatizo. Nilishakwambia hilo tatizo litaisha lenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom