Kichwa cha dushelele hakina mawazo

hahahahahaaaaa boflo bwana huishiwi mmmhhhh. any way usiku umeotaje?
 
umeona eeeh!
yaani mimi nilipofungua nikaangalia kwanza nyuma yangu kama hakuna aliyeniona maana niliona aibu mbaya


We acha tu.
Nimekuja kucheka baadaye though.

Binadamu akili zetu siku hizi zimevurugwa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…