bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Oct 23, 2014 #81 Karucee said: Lols. Kimoro ndo nini mkuu? Click to expand... Kimoro ni nyama ya porini (eg inaweza ikawa ya nyati, swala, nyumbu, twiga, ngiri etc) halafu inakaushwa kwenye moshi wa kuni au moto au jua.
Karucee said: Lols. Kimoro ndo nini mkuu? Click to expand... Kimoro ni nyama ya porini (eg inaweza ikawa ya nyati, swala, nyumbu, twiga, ngiri etc) halafu inakaushwa kwenye moshi wa kuni au moto au jua.
M mAgaziJuTO. Senior Member Joined Feb 22, 2014 Posts 119 Reaction score 37 Oct 23, 2014 #82 bornagain said: Wahamiaji tu pale maana mzee alikuwa mwajiliwa wa serikali maeneo ya pale, hahaha nikimtaja utamfahamu maana alikuwa maarufu kiasi Click to expand... bwana shamba
bornagain said: Wahamiaji tu pale maana mzee alikuwa mwajiliwa wa serikali maeneo ya pale, hahaha nikimtaja utamfahamu maana alikuwa maarufu kiasi Click to expand... bwana shamba
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,255 Oct 23, 2014 #83 kitoromoni said: nakumbuka nyumbani sana Click to expand... BHULULU said: Hii kitu nimekumbuka mbali sana, penda sana hiyo kitu Click to expand... Dah, unanipa mzuka sanaa Hiii kitu iache kam , ilivyo mura
kitoromoni said: nakumbuka nyumbani sana Click to expand... BHULULU said: Hii kitu nimekumbuka mbali sana, penda sana hiyo kitu Click to expand... Dah, unanipa mzuka sanaa Hiii kitu iache kam , ilivyo mura
jmaroa Senior Member Joined Jul 29, 2014 Posts 111 Reaction score 23 Oct 23, 2014 #84 Aayisee umenikubusha mbali hata hivyo December kuna tohara kjjni nadhani chukula hicho lazma kiwepo....nitafurahi sana
Aayisee umenikubusha mbali hata hivyo December kuna tohara kjjni nadhani chukula hicho lazma kiwepo....nitafurahi sana
Bandido-2 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2013 Posts 266 Reaction score 570 Oct 23, 2014 #85 kitoromoni said: obhukima bhwa amahemba!!!! Click to expand... Mhhhh... hii lugha mbona naifaham... hebu ongeza msamiati mmoja nijiridhishe kama ndo yenyewe
kitoromoni said: obhukima bhwa amahemba!!!! Click to expand... Mhhhh... hii lugha mbona naifaham... hebu ongeza msamiati mmoja nijiridhishe kama ndo yenyewe
N nokwenumuya JF-Expert Member Joined Jun 29, 2019 Posts 820 Reaction score 2,900 Apr 17, 2022 #86 kitoromoni said: nakumbuka nyumbani sana Click to expand... Kichuri woyeeee