Kichuguu ni nini?

Kwamba kuua kichuguu mpaka uuwe malikia,hz story huwa nazisikia sikia

Kwahyo mchwa wana malikia,nyuki pia na siafu
Hata hivyo mpaka umfikie malikia unakuwa umeshakisambaratisha.. Ila wakifanikiwa kumchifa.. Kichuguu kitajengwa upya tena fasta sana
 
Mkuu wanasemaga malkia wa mchwa ni wathamani sana,.
Anatumika kufanyia Nini???
Malikia wa mchwa na malikia wa nyuki na kucha za mnyama mshana kamwandika hapo juu anaitwa muhanga huwa wanaweka kwenye biashara kuvuta watu..
Ila kuvipata hivo vitu sio rahisi unaweza tumia miaka kuvipata..
Anyway wee piga kazi kama punda mradi usife njaa.
 
Ok
 
Tusifanyiane mzaha ndugu yangu
 
hapo kila kimoja na malkia wake..kwahiyo ukihitaji malkia watano ni lazima vilale vitano
 
ONYO KALI na TAARIFA kwa UMMA: Kichuguu ni mimi; na ndiyo trade mark yangu. Ukinichokoza zaidi kunivunjia heshima, nitakuvurumisha kwa pilato utundikwe msalabani. Kwa hiyo tuheshimiane kabla sijachukua maamuzi hayo mazito. Bado najua wewe ni ndugu yangu ila tukiendelea kuvunjiana heshima, undugu utafutika na utaishia msalabani kwa misumali ya moto.

NI MARUFUKU KUTUMIA NENO KICHUGUU MAHALA POPOTE BILA IDHINI YANGU
 
🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…