Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,100
- 859,273
Ndio man of the match mpaka sasa.. Nyota wa mchezo
Kwa nafasi yake TEC angeweza kuteua mwinginr kuongoza wanazuoni waseja kwenda Dodona ikulu ndogo kukumbushia nyaraka zao za nyuma ama kuzifafanua kwa waliojipachika madaraka
Hiyo inaitwa ... Usiyempenda kaja... Kaongoza vema jopo la wasomi nguli.... Na baada ya siku mbili tatu ndiye kajitokeza kwenye vyombo vya habari kutoa mrejesho na kufafanua yaliyojiri
The same day kukawa na mechi ya watani wa jadi ikiambatana na tamasha la Kizmkaz!
Kwa mshangao na taharuki kuu.. Yote hayo hayakuweza kumfunika Fr. Dr. Kitima na TEC.. Kumbuka sirikali yote haramu ilikuwa kizmkaz.. Hivyo sehemu kubwq ya vyombo vya habari vilikuwa huko!
Tunamaliza wiki kea kishindo cha tatu bila.. TEC vs chama cha majambazi