Kicheko cha PINDA

Huyo mpigapicha afunguliwe mashtaka, anamdhalilisha rais wetu wa 2015 akome kabisa
 
hii tabu ya kuwa mshikiria gia hapo unakuta baba mwanaasha aliongea kakitu kadogo tu kuonyesha wanamsapoti ndio hayo yametokea ni umbea tu lakini
 
aiseee babaangu hayo malezi machafu kapewa pinda hiyo ni tabia gani kucheka na kuinua miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…