Kuna kitu kinaitwa etiquette..... yaelekea hajafundishwa huyu![]()
Hahahhaa
Huyo mpiga picha nae mfukunyuku balaaa
cheka unenepe
Kuna kitu kinaitwa etiquette..... yaelekea hajafundishwa huyu![]()
Labda alikuwa anapumua kiaina!e banaa ee! kulikuwa na haja gani ya kunyanyua huo mguu??
Kama ingekua hivyo JK wetu si angeshapasuka.
View attachment 71594
Ningependa kujua nini kimewachekesha kiasi hicho!