Kichekesho.....!!

Kichekesho.....!!

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
je ushakutana na kichekesho ambacho hakichekeshi halafu unaona watu wanacheka?

au ushatoa kichekesho ukajua watu watacheka alafu wasicheke?

Utajisikiaje?
 
je ushakutana na kichekesho ambacho hakichekeshi halafu unaona watu wanacheka?

au ushatoa kichekesho ukajua watu watacheka alafu wasicheke?

Utajisikiaje?

hiki nacho ni kichekesho?
 
Unajua kuna wakati kinakuwa ni kichekesho ila kwa kuwa watu wako busy na mawazo yao hayako hapo kwa wakati huo waweza wasicheke ingawa baadae wakitulia wanaweza cheka sana so inawezekana ikatokea
 
Back
Top Bottom