Kichekesho cha wasanii bongo

huu mziki wa miaka hii una mambo Mengi,
Acha tunyamaze kimyaaa!
Nisije nikaitwa mchochezi!

Kiufupi kwa haraka haraka me nawashauri vijana wote wanaofaiti kutoka kimaisha, iwe biashara, muziki, kilimo au ufugaji, msiige sana hawa watu ambao ni popular, kwa sababu wengi wao wapo na hypocrisy, they are not real!
So vijana wenzangu twende polepole Tusije tukapoteana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom