Estone JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 634 Reaction score 661 Nov 17, 2018 #21 Tigershark said: Sijawahi Click to expand... Unajua kisikia maneno yanayotokea puani “ you know unajua” saa nyingine hata wingereza haujafika”
Tigershark said: Sijawahi Click to expand... Unajua kisikia maneno yanayotokea puani “ you know unajua” saa nyingine hata wingereza haujafika”
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,623 Reaction score 30,247 Nov 17, 2018 #22 Elitwege said: Chadema; anayemshabikia fisadi Lowasa akapimwe akili ,tumemuweka kwenye list of shame Chadema; watanzania mchagueni Lowasa awe rais Click to expand... Fisadi mahakamani hamumpeleki kisa mlikula pamoja na ndiyo sababu hamkumuona fisadi wakati wa kutangaza nia, huo ni unafiki.
Elitwege said: Chadema; anayemshabikia fisadi Lowasa akapimwe akili ,tumemuweka kwenye list of shame Chadema; watanzania mchagueni Lowasa awe rais Click to expand... Fisadi mahakamani hamumpeleki kisa mlikula pamoja na ndiyo sababu hamkumuona fisadi wakati wa kutangaza nia, huo ni unafiki.