Kichefuchefu


KELVIN GASPER

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
1,024
Points
1,250
KELVIN GASPER

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
1,024 1,250
Timu ya Kilimanjaro Stars ikiwasili kutoka Kampala baada ya kutoka patupu.

KILI_2[1].jpg
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,168
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,168 2,000
Safi sanaaaaaa!!!!
 
omujubi

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Messages
4,147
Points
1,225
omujubi

omujubi

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2011
4,147 1,225
mbona wawatukana watoto wa wenzio hivyo!
Watanzania wote tuna tatizo la 'mindsets' lakini hatutaki kukubali hili. Leo ni hawa, kesho wale, keshokutwa wewe nk. Ndio maana watu walivyohoji 'kamati' ya Serengeti Boys waliwalidhania utani na baada ya nao kufurumushwa nje ya mashindano wengine wanaanza kulia hadharani bila kujua kuwa wana ndevu!
 
sifongo

sifongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2011
Messages
4,792
Points
2,000
sifongo

sifongo

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2011
4,792 2,000
Sasa Mkuu wangebeba kombe hayo mabegi angewabebea nani, watu hawataki mizigo ati.
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,546
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,546 2,000
Wanatalii sana hawa vijana kama baba yao vasco da Gamma
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,325
Points
2,000
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,325 2,000
Nilitegemea kuona nnya!!!!! nshaanza kukunja sura
yani watu ndo kichefchef?
 
COURTESY

COURTESY

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Messages
2,012
Points
1,225
COURTESY

COURTESY

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2011
2,012 1,225
Wamekaa kama wakabaji wa manzese
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,101
Points
2,000
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,101 2,000
hawakua na kujisevia kama wenzao wa zenji
 

Forum statistics

Threads 1,285,940
Members 494,834
Posts 30,879,822
Top