Kichefuchefu cha CUF/Prof. Lipumba Jangwani leo

Lini uliona CHADEMA wakijibishaba na CUF?
Tupe mfano mmoja tu.

Yani kamkutano kamoja mnataka muutumie kitishia chama chenye wabunge wawili Wa kuchaguliwa Dar? Tena waluopata kura nyingi kuliko wabunge wote wa ccm dar kwa ujumla wao??!!
Hii ni akili ya wapi hii??!

Pia si sawa kwa mpinzani wa kweli kumpinga mpinzani mwenzie. lengo ni kuondoa sisisem, so wapinzani should have one strong point ! siyo kupondana wao kwa wao !
 
Kweli naunga mkono Kkuwa suala la kuwakaribisha Waislam pekee katika Chama cha CUF halina maana yoyote njema.

Ingawa hata slogan yetu ya kuvua magamba (ili chama kibali na uadilifu) ili-backfire kwa kutoeleweka na pia kutotekelezwa kikamilifu mpaka sasa; hii ya CUF ya mbio za mpaka Ikulu ni ya kibinafsi sana na isiyo na dira kwa wananchi bali kuonyesha kuwa suala ni kutawala (kukimbilia Ikulu) nina uhakika nayo ita backfire kwa kishindo hasi kikubwa zaidi!

TUWE TUNATAFUTA KAULI MBIU NA MIKAKATI ILIYOCHAMBULIWA NA KUPIMWA WENGI KABLA YA KUIMWAGA HJADHARANI.
 
Sina kazi mkuu nasubiri Chadema wachukue nchi tule bata.
huyu ritz ana laana ukiona muislamu anajifanya anajua uislamu wakati ni mlevi na mla nguruwe ujue ni lofa huyo ndie ritz kushabikia dini ni mufilisi wa mawazo nenda jedah au kavae bomu.
 
Ukweli unajulikana jamani. Mbona wavazi ya wahudhuriaji walio wengi mikutanoni mwao na hoja zilizokuwa zinatolewa misikitikini wazi wazi 1995 cuf kilipogombea uraisi kwa mara ya kwanza na hata baada ya hapo ziko wazi kuwa ni chama cha kidini? chama gani kinafanya kampeni kwenye nyumba za ibada?
Wao na Mme wao CCMABWEPANDE wamedhihirisha mrengo wa Udini..barakashia tupu
 
Tuavyotoana macho na hizi dini, tukifika huko tukakuta hamna kitu sijui tutakumbuka matendo yetu na kuona aibu?
Dini yoyote kama haikusaidii kukaa kwa amani,furaha na upendo basi haina maana.
Kuna mkristo aliyeenda kuchukua kadi ya uanachama cuf akanyimwa?
 
Back
Top Bottom