Kichefuchefu cha CUF/Prof. Lipumba Jangwani leo

Chadema mkutano wa CUF umewavuruga sana yaani nimapovu yanawatoka
 
Wewe jamaa naona unalialia bila hoja umegeuka mshauri wa vyama vya siasa, washauri Chadema kwa nini wamejichaguwa wenyewe bungeni kama wanajuwa kuwa kuna wapinzani wengine kwa nini wamejitenga, hivi ni vita kila chama kinakuja na njia yake, wewe unataka CUF, NCCR Mageuzi, UDP, waisifie Chadema, wakati hao hao Chadema wanasema Tanzania hakuna chama cha upinzani zaidi ya Chadema tu...endelea na kichefuchefu chako mkuu.

wee mama upo?? nimemiss your unbeaten posts...karibu
 
Nawashauri CDM wasimjibu chochote huyu prof.

sidani kama ushauri wako huu utazingatiwa na mpenda media wenu dk slaa,lazima ataitisha press com. na kudai lipumba hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi
 
Lini uliona CHADEMA wakijibishaba na CUF?
Tupe mfano mmoja tu.

Yani kamkutano kamoja mnataka muutumie kitishia chama chenye wabunge wawili Wa kuchaguliwa Dar? Tena waluopata kura nyingi kuliko wabunge wote wa ccm dar kwa ujumla wao??!!

Hii ni akili ya wapi hii??!
 
Prof. Shoddy I. Lipumba, PHD (spouse - Janjaweed)
hahahaaaaaaaaaaaaa.....

umeongea pumba halafu unakua paranoid

its ok kuchemka mkuu, wewe si wa kwanza kuchemka, hata mimi huchemka tu
 
Wewe jamaa naona unalialia bila hoja umegeuka mshauri wa vyama vya siasa, washauri Chadema kwa nini wamejichaguwa wenyewe bungeni kama wanajuwa kuwa kuna wapinzani wengine kwa nini wamejitenga, hivi ni vita kila chama kinakuja na njia yake, wewe unataka CUF, NCCR Mageuzi, UDP, waisifie Chadema, wakati hao hao Chadema wanasema Tanzania hakuna chama cha upinzani zaidi ya Chadema tu...endelea na kichefuchefu chako mkuu.

maelezo mengi kumbe wewe ndo mdini mkubwa
 
.............. Hoja zake za UISLAMU na CUF hazikumzuia kuanguka mara 4 kwenye kugombea Uraisi, bado anazirudia tena?!!

Kama itakavoanguka chadema na hoja zake za mungu akutangulie, na mengine meeengi,..mark my words chadema haitashinda na udini wake , labda mbadilike .
 
Cuf haina demokrasia..mimi nikisikia CUF tangu utoto najua ni Lipumba, Seif...Ngoja Yule jamaa aingie adc..
 
Wewe jamaa naona unalialia bila hoja umegeuka mshauri wa vyama vya siasa, washauri Chadema kwa nini wamejichaguwa wenyewe bungeni kama wanajuwa kuwa kuna wapinzani wengine kwa nini wamejitenga, hivi ni vita kila chama kinakuja na njia yake, wewe unataka CUF, NCCR Mageuzi, UDP, waisifie Chadema, wakati hao hao Chadema wanasema Tanzania hakuna chama cha upinzani zaidi ya Chadema tu...endelea na kichefuchefu chako mkuu.

Ukiwa vitani unaunganaje na majeruhi hili kushinda vita ????????????
Vyama hovyo havina msaada wowote , afadhari CDM isubiri miaka hata 30 hili iiingie madarakani kuliko kubebena na hawa kanzu vibandiko hawana maana yeyote watoto wa kijakazi
 
Prof ameshanunuliwa na magamba. Anajikomba kwa CCM ili iafunge ndoa na CUF kama walivyofanya kule Zenji. Anaona hii ndiyo short cut ya kuingia ikulu! What a shame. Kwa maana hiyo CUF ilaumiwe kwa vifo vilivyotokea wakati wa mikutano ya CUF? Kwa hiyo CUF ni chama cha fujo! CDM wana kila vielelezo kuonyesha nani wahusika CUF je? Mbona anajidhalalisha au amerogwa?
 
Ni wakati wa kumwacha hata mwingine ajaribu. Anafaa sana kuwa Waziri wa Uchumi au Mshauri wa rais katika uchumi lakini kuwa Rais I have my doubts!

Ndugu yangu, Hata kutoa ushauri I HAVE MY DOUBTS !
 
Kama itakavoanguka chadema na hoja zake za mungu akutangulie, na mengine meeengi,..mark my words chadema haitashinda na udini wake , labda mbadilike .

Kumbe kutanguliwa na Mungu ni ukristo ? Duh !
 
Back
Top Bottom