Kicheche wa kijijini.

Kicheche wa kijijini.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Jamaa mmoja alipeana miadi na demu mmoja kijijini.Ilipofika saa 4 usiku,jamaa akajiandaa kisha akaelekea kwenye gheto la yule demu.Alipofika pale,akamkuta mshkaji mwingine akimtongoza yule demu nyuma ya nyumba.Jamaa akaona haina shida,akapanda juu ya mti kusubiri wamalizane ili zamu yake na yeye ifike.Alipopanda juu ya mti,akastaajabu kukutana na mshkaji mwingine naye akisubiri zamu yake ifike.Kilichofuata baada ya hapo..........
 
Hapo si inabidi wajipange - First in First Served' au??!!!!!!!!!!!!
dah hyo kali, hapo inabidi tutafute utilization of the facility, expected time in the queue, expected time in the system, arrival rate=5customer/minute, aaah aah
 
jamaa mmoja alipeana miadi na demu mmoja kijijini.ilipofika saa 4 usiku,jamaa akajiandaa kisha akaelekea kwenye gheto la yule demu.alipofika pale,akamkuta mshkaji mwingine akimtongoza yule demu nyuma ya nyumba.jamaa akaona haina shida,akapanda juu ya mti kusubiri wamalizane ili zamu yake na yeye ifike.alipopanda juu ya mti,akastaajabu kukutana na mshkaji mwingine naye akisubiri zamu yake ifike.kilichofuata baada ya hapo..........
tunaanza kuleteana hadithi za..sungura akasema...mbona hatukuwi???
 
Mimi muda huo nilikuwa ndani ya gheto ya huyo demu namsubiri amalizane na jamaa halafu aingie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom