Kichapo kwa Waislamu na wasio Wayahudi kinakuja!

Status
Not open for further replies.
Wazungu wameshaanza propaganda ambazo haswa zinaongozwa na Wayahudi ambao lengo lao ni kutawala Dunia, sasa hivi kuna habari zinapamba moto ambazo zina lengo la kuitayarisha Dunia kisaikolojia hasa waumini wa Dini ya Kiislamu!

Wazungu wanasema kwamba, hapo zamani nchi muhimu za Kiarabu kama Syria zilikuwa za Kikristo kabla ya kuvamiwa na Uislamu (Uarabu), na wanakwenda mbali zaidi na kusema kwamba Afrika ya Kaskazini yote ilikuwa ni Ukristo tupu!

Wanasema kwamba, (Mtume) Paulo hakwenda Jerusalemu kwanza bali alienda Damascus (Mji Mkuu wa Syria ya leo) hata wanasema Msikiti wa Ummayad ulioko Damascus ambao ni una historia muhimu sana ya Dini ya Kiislamu kwani ndo Msikiti mkubwa na wa zamani klk yote Duniani chini yake wanasema kwamba ndipo alipozikwa Yohana Mbatizaji, kwa maana nyingine Msikiti wa Umayyad umejengwa juu ya kaburi la Yohana Mbatizaji na wanasema kwamba Msikiti huo lilikuwa Kanisa kabla ya uvamizi wa Dola ya Kiislamu, hivyo unaweza kuunganisha matukio na yanayoendelea nchini Syria, nchi ya Israeli ina lengo na kuichukuwa Syria yote na hivyo inawandaa wanadamu kisaikolojia, na kipigo cha pili kinafwatia Afrika ya Kaskazini rejea uhusiano wa kuuliwa kwa Gadafi na kushamiri kwa Isis, leo hii Isis sehemu kubwa wanatokea nchini Libya baada ya Gadafi kuondolewa na kama alivyosema D.Trump kwamba ,,Obama and clinton created Isis", ... !

Msikiti wa Umayyad, Damascus ambapo wanasema umejengwa juu ya kaburi la Yohana mbatizaji!
1280px-Umayyad_Mosque%2C_Damascus.jpg



900px-Umayyad_Mosquee_panoramic.jpg


(Picha wikipedia)

Kaa Kimya bwana Mambo haya ni polepole, Utawashtua!
 
Siyo Waislamu tu (Waarabu) hata wewe mweusi pia hawakupendi!
At least weusi tunalalamika tukiwa na sababu za msingi na zinazoonekana,ubaguzi etc...sio waislam kila siku wazungu hawaupendi uislam...wanawauwa waislam,wakiulizwa mbona Syria wenyewe kwa wenyewe wanauwana wanakimbilia kusema wazungu waliwafitinisha yaani madhaifu yao wanayaficha,kwani wao waislam hawana akili kung'amua hapa tunafitinishwa ili tupigane?
 
Sisi waisiramu tunajivunia iran yetu mwambien isirael wenu ajalibu aone cha moto
 
At least weusi tunalalamika tukiwa na sababu za msingi na zinazoonekana,ubaguzi etc...sio waislam kila siku wazungu hawaupendi uislam...wanawauwa waislam,wakiulizwa mbona Syria wenyewe kwa wenyewe wanauwana wanakimbilia kusema wazungu waliwafitinisha yaani madhaifu yao wanayaficha,kwani wao waislam hawana akili kung'amua hapa tunafitinishwa ili tupigane?


Kwa nini unafikiri kwamba wewe Mwafrika ndo una sababu za msingi kulalamika na wengine hawana hizo unazoziita sababu za msingi?
 
Uislam haujawahi kushindwa kusambaa...zaidi ya Andalus sasa Spain uislam haukushindwa. Europe umeenea kwa kasi ....baadhi ya nchi sasa ni 10% ya watu wote....
Ni kweli zipo njama za kuupaka matope kama kuanzidha makundi ya Isis na alqaeda lakini hayajafamikiwa kuzuia kasi ya ukuaji wake.
Kwa ufupi uislam hauhitaji nuclear wala drones ..kunawiri....ukweli wake na uzuri wake unafanya upendwe...
Uislam umepigwa vita zamani crusade 1 ,2 na 3 na sasa visingizio vya ugaid na democracy vyote vime fail.
They can nt kill us all 1.7billion ...tutashinda tu
kwa maneno mengine UISLAM NI SAWA NA UPEPO.
sasa kama unaweza kuuzuia upepo basi utaweza kuuzuia...
 
Kama habari hizi zina walau chembe ya ukweli, wanataka vinu vya nyuklia vifunuliwe, vizazi viangamie.. sisi wengine tutabaki kua watazamaji lakini kwa bahati mbaya huenda tukateuliwa kua uwanja wa vita.
 
Wacha waje wawafurumushe hao Waarabu wa Northern Africa! Kwanza waliwaua Ndugu zetu Wakush na bado wakang'ang'ania kukaa hapo mpaka leo, warudi zao huko Eastern...
 
Acheni kujishtukia,hii kupoteza muda kung'ang'ana kusema wazungu wanapinga uislam kumewafanya wenye imani hiyo kuwa bogus wanashindwa hata kufikiri nje ya box....maswali mepesi tu,kwanini wapingane nao,unawakosesha nini hata wauangamize,unawakosesha maslahi gani?
Its time to return the child to his mother.
 
Lazima waziandame nchi za kiislam kwa kua ndio nchi ambazo huwa wanapata ugumu sana wanapotaka kueneza propaganda zao,nchi nyingi za kikristo hazina resistance kubwa,kwanza bado wanaamini waisrael ni taifa teule kwa hyo lolote litakalofanywa na wayahudi wakristo hawana pingamizi,kama mtu atakuua kwa kile unachokiamini bado ni kifo safi tuu,wacha waje tunawasubiri!
HAWANA haja ya dini wao ni MAFUTA TU..kama nchi yako haina resources wanazo hitaji ..huwa hawana mpango nawe. ...HAMNA HOFU HAKUNA WA KUTUTISHA. ..TRUST ME...
 
Acheni kujishtukia,hii kupoteza muda kung'ang'ana kusema wazungu wanapinga uislam kumewafanya wenye imani hiyo kuwa bogus wanashindwa hata kufikiri nje ya box....maswali mepesi tu,kwanini wapingane nao,unawakosesha nini hata wauangamize,unawakosesha maslahi gani?
wanashindwa kueneza Propaganda zao za Ushoga na nyingine nyingi zilizokua kinyume na maadili ujue Uislam ndio dini yenye misimamo mikali Duniani
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom