Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Wazungu wameshaanza propaganda ambazo haswa zinaongozwa na Wayahudi ambao lengo lao ni kutawala Dunia, sasa hivi kuna habari zinapamba moto ambazo zina lengo la kuitayarisha Dunia kisaikolojia hasa waumini wa Dini ya Kiislamu!
Wazungu wanasema kwamba, hapo zamani nchi muhimu za Kiarabu kama Syria zilikuwa za Kikristo kabla ya kuvamiwa na Uislamu (Uarabu), na wanakwenda mbali zaidi na kusema kwamba Afrika ya Kaskazini yote ilikuwa ni Ukristo tupu!
Wanasema kwamba, (Mtume) Paulo hakwenda Jerusalemu kwanza bali alienda Damascus (Mji Mkuu wa Syria ya leo) hata wanasema Msikiti wa Ummayad ulioko Damascus ambao ni una historia muhimu sana ya Dini ya Kiislamu kwani ndo Msikiti mkubwa na wa zamani klk yote Duniani chini yake wanasema kwamba ndipo alipozikwa Yohana Mbatizaji, kwa maana nyingine Msikiti wa Umayyad umejengwa juu ya kaburi la Yohana Mbatizaji na wanasema kwamba Msikiti huo lilikuwa Kanisa kabla ya uvamizi wa Dola ya Kiislamu, hivyo unaweza kuunganisha matukio na yanayoendelea nchini Syria, nchi ya Israeli ina lengo na kuichukuwa Syria yote na hivyo inawandaa wanadamu kisaikolojia, na kipigo cha pili kinafwatia Afrika ya Kaskazini rejea uhusiano wa kuuliwa kwa Gadafi na kushamiri kwa Isis, leo hii Isis sehemu kubwa wanatokea nchini Libya baada ya Gadafi kuondolewa na kama alivyosema D.Trump kwamba ,,Obama and clinton created Isis", ... !
Msikiti wa Umayyad, Damascus ambapo wanasema umejengwa juu ya kaburi la Yohana mbatizaji!
(Picha wikipedia)