The 13
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 2,832
- 3,294
Wadada muwe watulivuView attachment dogo_la_rafiki_wa_diamond-20190103-0001.mp4
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaaa, kamtembea kichapo.
Dem bora ange kaa mbali.Jamaaa, kamtembea kichapo.
Ila some times wanawake wanamauzi, sana. Aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yale ya Koffie Olomide aliyomtembezea mnenguaji wake.daa hayo mateke nikumbusheni yamewahi kuonekana katika movie gani
Mmh. Hivyo Mkuu hayo "Mauzi" Maudhi suluhu yake ndio ile?Jamaaa, kamtembea kichapo.
Ila some times wanawake wanamauzi, sana. Aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo ndio ujue wanaume mnatofautiana.Kadada machachari! Hivi unawezaje kumrushia mdada ngumi!?
Kwenye movie za Van damme ndio yanapatikana. 😀😀😀daa hayo mateke nikumbusheni yamewahi kuonekana katika movie gani
Unamwamba basi Mama umeshinda wewe ama? 😀😀😀Mimi mdada akitaka kunipiga anikumbatie tu, hapo atanimaliza!
kumpiga mwanamke ni ushamba uliopitiliza!
kumpiga mwanamke ni ushamba uliopitiliza!