Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,429
Pdidy hueleweki na husomeki halafu jifunze kuandika kwenye mitandao unapenda kuandika ila kunakitu unamiss.Post zako nyingi zinaboa angalia unavyovuruga hii mada kuna wengine tunaenjoy kuona kichaga kinavyoandikwa maana ni wa huko ila hatujui kuongea.