KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,569
- 21,076
- Thread starter
- #21
Hii kama Mwendazake
Evian.
I miss youI love him, his smile 😊.
Haya ndio maji ya uzima?Evian.
Hayo maji yanauzwa bei kubwa balaa.
Nilienda Shopper ya Mbezi beach nikashangaaa
Haya ndio maji ya uzima?



mi sijui bhana.
South Africa Wana kampuni ya ndege inaitwa Mango, ndege zao zina michoro ya ajabu ajabu na marangi tataHizo Ni ndege kweli au Photoshop
Ungenunua mzeemi sijui bhana.
Kama sikosei kikopo cha 350ml ilikua 5500/= mana ni muda sana
Hizo Ni ndege kweli au Photoshop