Kibwana Dachi amchana LIVE Wasira

Kibwana Dachi amchana LIVE Wasira

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
490
Hakika kila Mbuyu na shetani wake! Katika vitu ambavyo vimenifurahisha asubuhi hii ni kitendo cha nguri wa habari Ndugu Kibwana Dachi kumtamkia LIVE bila chenga kuwa Wasira hana weledi wa uondozi wala uvumilivu wa kisiasa hata cheo alichonacho ni cha kuhongwa tu!

Zaidi ya hapo amewataka wana habari kumuumbua kwa kutumia mikanda yake ya maneno aliyokuwa akiyatoa juu ya Serikali ya CCM wakati yupo upinzani.

Hongera sana Kibwana! Tunahitaji wanahabari wenye kujiamini kama wewe.
 
ok kibwana tumekusikia, basi endelea kukosoa hasa mambo ya msingi kama haya
 
Hakika kila Mbuyu na shetani wake! Katika vitu ambavyo vimenifurahisha asubuhi hii ni kitendo cha nguri wa habari Ndugu Kibwana Dachi kumtamkia LIVE bila chenga kuwa Wasira hana weredi wa uondozi wala uvumilivu wa kisiasa hata cheo alichonacho ni cha kuhongwa tu!Zaidi ya hapo amewataka wana habari kumuumbua kwa kutumia mikanda yake ya maneno aliyokuwa akiyatoa juu ya Serikali ya CCM wakati yupo upinzani. Hongera sana Kibwana! Tunahitaji wanahabari wenye kujiamini kama wewe.

kibwana dachi anamuitaga kikwete 'dokta'
 
Kibwana Dachi ninani hata amumbue Wassira, Wassira amelifanyia mambo mengi Taifa hili tangu enzi za Mwalimu zaidi ya Kibwana mwandishi wa habari anayetegemea posho za mafisadi ili aandike kwa kuwafurahisha pole sana Kibwana kamwambie bosi yako aliyekutuma hatudanganyiki ng'o!
 
Hakika kila Mbuyu na shetani wake! Katika vitu ambavyo vimenifurahisha asubuhi hii ni kitendo cha nguri wa habari Ndugu Kibwana Dachi kumtamkia LIVE bila chenga kuwa Wasira hana weredi wa uondozi wala uvumilivu wa kisiasa hata cheo alichonacho ni cha kuhongwa tu!Zaidi ya hapo amewataka wana habari kumuumbua kwa kutumia mikanda yake ya maneno aliyokuwa akiyatoa juu ya Serikali ya CCM wakati yupo upinzani. Hongera sana Kibwana! Tunahitaji wanahabari wenye kujiamini kama wewe.

Muulizeni Kibwana kama litawezekana kweli hili. Wakati ule Ilikuwepo CTN, ITV na TV Zanzibar pekee. Mikanda itakuwepo Kweli? Labda kama anamaanisha clips za Magazeti. Hizo nadhani wengi tunazo pamoja na picha zake zinazomuonesha akiwa na njaa njaa nyingi sana wakati ule. Em tuwekeeni kwenye YouTube bas tumsikie alivyokuwa akiloloma kabla ya kunyamazishwa na hao CCM wake kwa hela chafu.
 
Kibwana chenu haya shangilieni watumwa wa chadema maake wasira akiguswa mnashingilia maake WASIRA ni kiboko chenu CHADEMA mwaka mtakoma
 
Nimemsikia ,amempa madongo live.safi sana kibwana dachi.
 
Kibwana Dachi is mare a puppet,labda kama ana personal conflict na Wasira cause huyo jamaa ni defender mkubwa Serikali hii ya vasco-the-tourist
 
Ni kiongozi gani ambaye hakupitia CCM hata hao miungu mtu akina SLAA, na wabunge wenu wengi walikuwa ccm je ni njaa ziliwaondoa ccm au ninyi mnamuona wasira tu kweli wasira anawatesa na mwaka huu mtakoma.
 
kibwana dachi anamuitaga kikwete 'dokta'

Alafu hii sielewi ni kwanini wanahabari wengi wanaitamka 'Dokta' ya Kikwete mara kwa mara tofauti na ilivyokuwaga kwa Mkapa maana naye alikuwa nayo 'dokta' kama hii lakini alikuwa na bado anaendelea kuitwa Ndugu au 'Mheshimiwa Benjamini William Mkapa' Tofauti na hii ya 'Mheshimiwa dokta Jakaya Mrisho Kikwete' Au shinikizo la TISS kama kawaida yao?
 
Hakika kila Mbuyu na shetani wake! Katika vitu ambavyo vimenifurahisha asubuhi hii ni kitendo cha nguri wa habari Ndugu Kibwana Dachi kumtamkia LIVE bila chenga kuwa Wasira hana weredi wa uondozi wala uvumilivu wa kisiasa hata cheo alichonacho ni cha kuhongwa tu!Zaidi ya hapo amewataka wana habari kumuumbua kwa kutumia mikanda yake ya maneno aliyokuwa akiyatoa juu ya Serikali ya CCM wakati yupo upinzani. Hongera sana Kibwana! Tunahitaji wanahabari wenye kujiamini kama wewe.

Maccm kwa fitina utaona wanaanza kumwandama Kibwana Dachi kwa kuongea ukweli
 
Hakika kila Mbuyu na shetani wake! Katika vitu ambavyo vimenifurahisha asubuhi hii ni kitendo cha nguri wa habari Ndugu Kibwana Dachi kumtamkia LIVE bila chenga kuwa Wasira hana weredi wa uondozi wala uvumilivu wa kisiasa hata cheo alichonacho ni cha kuhongwa tu!Zaidi ya hapo amewataka wana habari kumuumbua kwa kutumia mikanda yake ya maneno aliyokuwa akiyatoa juu ya Serikali ya CCM wakati yupo upinzani. Hongera sana Kibwana! Tunahitaji wanahabari wenye kujiamini kama wewe.

.........Siasa kweli ni mchezo mchafu... Wassira huyu amesahau alikotoka....
 
Alafu hii sielewi ni kwanini wanahabari wengi wanaitamka 'Dokta' ya Kikwete mara kwa mara tofauti na ilivyokuwaga kwa Mkapa maana naye alikuwa nayo 'dokta' kama hii lakini alikuwa na bado anaendelea kuitwa Ndugu au 'Mheshimiwa Benjamini William Mkapa' Tofauti na hii ya 'Mheshimiwa dokta Jakaya Mrisho Kikwete' Au shinikizo la TISS kama kawaida yao?

Kikwete mwenyewe anapendwa aitwe hivyo, tofauti na Mkapa alikataa kuitwa Dokta kama alivyo kataa kuitwa Mtukufu Benyamini Mkapa unakumbuka enzi hizo Mwinyi alikuwa anaitwa mtukufu kama ilivyo kwa Daniel Arap Moi
 
Ni kiongozi gani ambaye hakupitia CCM hata hao miungu mtu akina SLAA, na wabunge wenu wengi walikuwa ccm je ni njaa ziliwaondoa ccm au ninyi mnamuona wasira tu kweli wasira anawatesa na mwaka huu mtakoma.

Dr.Slaa alikuwa anaisemaje CHADEMA wakati yuko CCM???
 
Ni kiongozi gani ambaye hakupitia CCM hata hao miungu mtu akina SLAA, na wabunge wenu wengi walikuwa ccm je ni njaa ziliwaondoa ccm au ninyi mnamuona wasira tu kweli wasira anawatesa na mwaka huu mtakoma.

kama wassira alivyo mungu mtu kwako, maana thread nzima umejaa wewe tu. 2015 just around the corner mind you..
.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom