Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Utakacosema kwangu ni command kwa sababu wewe ndie managing director wa nyumbani
ngoja tumpe onyo Kali akirudia tutamfukuza kabisa sawa love?
Utakacosema kwangu ni command kwa sababu wewe ndie managing director wa nyumbani
Ngojeni arudi hapa,mtaona
Afu na wewe na Andindilile mmefikia wapi?
Dah.Siku hizi naona umefungiwa psychiatric ward ndo maana huonekani....Kwa nini lakini unajificha hivyo?Tuna nini mimi na wewe? Kikombe alichonipa baba sitakinywa?