KIBUTI CHA Baba V a.k.a mwenyekiti

KIBUTI CHA Baba V a.k.a mwenyekiti

kanda ya ziwa hoyeeeeee........mbute ni balaa nilishawahi kula enzi zile wadhungu hawajatubadilisha na utadawizi loh ngoja nikirudi nizitafute

Mi napenda mbute zilizovunda sana ukizipika zinakuwa na utelezi mzuri
 
Alivonletea za kuleta mi nkaona isiwe tabu. Nkampa kubwa kudadadeki. Alikoma kuringa.

Hivi Bayern Munich Vs Borussia Dortmund itakuwa lini vile?

Where is Kaizer when I need hommie the best?

Habari senyo kwa mpigo? Narudi kwenye mgomo, kwaherini.
Una kesi ya kujibu
 
Last edited by a moderator:
heh we nawe umetokea wapi thatha mbona unahemea juu juu,halafu mbona umechangia out of topic una nani huko anakutia kiwewe.....
Eti dawa ya Gono inaitwaje vile?
 
Eti dawa ya Gono inaitwaje vile?

Evelyn Salt huyu kidudu mtu ananiletea kiwingu nishikeni mie gono upate wapi dawa uniulize mm mbona majanga...........pharmacy hupawoni eeh
 
Last edited by a moderator:
Evelyn Salt huyu kidudu mtu ananiletea kiwingu nishikeni mie gono upate wapi dawa uniulize mm mbona majanga...........pharmacy hupawoni eeh

Hebu nielekeze famasi gani nzuri. Nimekoma mie. Hivi we uliponaje haraka namna ile?
 
Last edited by a moderator:
umeshampachika mimba hausigelo wa watu utakoma mbona.

Si heri mimba napata mtoto? Haka kaugonjwa naskia nsipokatibia mapema kanakula kansa ya kimwaga mkojo. Oh mamma mia!!!
 
Hebu nielekeze famasi gani nzuri. Nimekoma mie. Hivi we uliponaje haraka namna ile?

inaonekana ulinisindikiza nilipoenda kupewa gono si bure.
 
Afu wewe hebu niPM kuna kitu nataka nikunong'oneze. Hapa kuna mijibwa ina masikio kama antena za ZUKU.

lijibwa likubwa ni ww,hao wanaokufuatia ni vijibwa vidogo.......
 
Si heri mimba napata mtoto? Haka kaugonjwa naskia nsipokatibia mapema kanakula kansa ya kimwaga mkojo. Oh mamma mia!!!

kila siku redio na tv zinakula umeme wa bure kutangaza umuhimu wa kinga.......badili tabia.
 
Back
Top Bottom