kila siku redio na tv zinakula umeme wa bure kutangaza umuhimu wa kinga.......badili tabia.
Hivi Radio na TV zimegradyueti chuo gani cha utabibu? Muhimbili au IMTU?
Hiki kibuti mbona umekitoa wakati mwenyewe katiwa selo ya JF???
Afu wewe hebu niPM kuna kitu nataka nikunong'oneze. Hapa kuna mijibwa ina masikio kama antena za ZUKU.
Pumbaf sana. Kwa hasira natokomea tena kwa muda mrefu kwa likizo ya mkono sweta. Sikutaki tena sikupendi pia. Karibu makaburini, nimekuandalia makao marehemu mwenzangu. Kwaherini wanadunia, mtakuja tu. Mnabisha? Muulizeni mangwea......mi sijui dawa yake bana, we hangaika nao tu........
mhhh Baba V unatupa mashaka sisi tunaotaka utufungishe ndoa na wake zetu tutatoa hoja uvuliwe uenyekiti maana unautumia kwa maslahi binafsiwe acha tu eti alikuja na sera za kutumia cheo chake akahisi atapata kitu lakini akaambulia patupu.