KIBUTI CHA Baba V a.k.a mwenyekiti

KIBUTI CHA Baba V a.k.a mwenyekiti

My mwenyekiti Baba V ni kweli umetenda haya kwa Asnam? Je ungepata hatari kwenye eneo la tukio? Mama v akijua?
 
Last edited by a moderator:
aaagh wapi unamsingizia tu Slave alizipatajepataje bila ushirikiano wako loh ngoja nikae pembeni nisijesutwa kwa matarumbeta mie.

halafu nawasiwasi na wewe utakuwa umeshirikiana nae
 
Last edited by a moderator:
Baba v hajui kupenda kwanza. Kuna demu alimzimikia kufa na kupona hata hivyo akampiga chini.
 
Khaaaa Asnam ungempa kibuti cha MAKORODANI akome.

Tena mwambie aachane na wake zetu kabla sijaenda kwa akina Arabela
 
Last edited by a moderator:
Sio vizuri kabish kumsema hapa mtu ambae hawezi kujitetea, mmetegea mwenyekiti amewekwa sevani ndo mnakuja kumsema hapa,atakuja
 
Pumbaf sana. Kwa hasira natokomea tena kwa muda mrefu kwa likizo ya mkono sweta. Sikutaki tena sikupendi pia. Karibu makaburini, nimekuandalia makao marehemu mwenzangu. Kwaherini wanadunia, mtakuja tu. Mnabisha? Muulizeni mangwea......
sitaki kufuru kwenye thread yangu..
 
Sio vizuri kabish kumsema hapa mtu ambae hawezi kujitetea, mmetegea mwenyekiti amewekwa sevani ndo mnakuja kumsema hapa,atakuja

hahaha akija atatukuta tu hapa ni mtakuja primary school
 
Khaaaa Asnam ungempa kibuti cha MAKORODANI akome.

Tena mwambie aachane na wake zetu kabla sijaenda kwa akina Arabela

korodani ntapata laana kutoka kwa wake zake si unajua ndo sabuni ya roho hiyo makitu.........
 
Back
Top Bottom