Kibuti ambacho hutakaa ukisahau!

Nshapigwa saa 3 baada ya kumake love,akanambia uhusiano hauna future,then nikapigwa siku 3 baada ya uhusiano mtoto akanambia simjali,nshapigwa tena na mtu akanambia tuvunje uhusiano,nkambia poa,akaguna kumbe alikua anatania,mi nikamaanisha maana nshazoea
Hahahaha....! Hii nimeipenda, maana kweli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo....!
 
mmh kwakweli,.. men wanasema wadada wabaya na gals wanasema wakaka wabaya,.. i mean kwenye kuachwa na kuachana sasa nan mbaya???
 
Ni kawaida kwa mwanaume aliyekamilika kula vibuti. Vibuti vina staili tofauti, kuna kumwagwa na kumiminwa.Hiki ni kibuti ambacho sitakaa nikisahau, kwani nilipopewa haya maneno, sikuwa na moyo wa kuendelea, licha ya kumfatilia kwa miaka 5,

namnukuu "unajua dunia hii unaweza ukampenda sana mtu kama mpenzi, naye akakupenda kama rafiki? Tindikali kaa ukijua kuna watu walipenda sana, wakafiwa na wake zao, lakini walikuja kuoa na wakapenda tena na maisha yakaendelea, sembuse mimi usiyejua matamu na machungu yangu? Na isitoshe dini itakusumbua, naomba tubaki tu kama marafiki.....", nilimpenda sana huyu binti na bado nampenda, lakini cha kusikitisha alinipenda kama rafiki.

Je wewe una uzoefu gani na vibuti?

Nilishuhudia demu anampiga kibut njemba kwa kumwambia............'huna la kunipa sana sana utanitia shombo tu wewe'.......tafuta wanawake wa saizi yako........'. Demu alimtamkia mshikaji mbel yetu, mwanaume alibidi akae kimya, na sisis wengine yetu yalikuwa ni masikio tu.
 
Dah!hii thrid imenitach kinoma,maana toka nimeanza kuingia ktk mahucano cjawah kuish na msichana yoyote yule tukamalza walau mwaka 1,yaani lolote lile litatokea baada ya cku chache ktk uhucano na kinachofata hap ni kupgwa kibuti tu,smtym ht sbbu ya msing siioni bt huwa nahc lbd nnagundu.Duh,inauma sn yaan km mwez m1 ulopt tyr nshapgw kibut baad ya miez 3 tu ya mahusiano.
 
mimi kuna binti nlimmaind mbaya, yan nlikuwa na mpango nae wa mda mrefu cz niliamini namfahamu. bdae akaja pedekshee wa crdb akamzoa, eti akaniambia yule ni 1st love wake so hawez msahau though amejaribu. aliniweka ktk kpndi kgumu sana yule mwanamke k.make, yan nlichiz. toka cku hyo nikaapa mi nawapitia tu, mpaka nikabatizwa jina mkuyati originale..
 
<br />
<br />
mh samtym cha kuambiwa kinauma ila mimi kunademu nilmpenda then akaja kuniambia yey anamtu tayari kama mwanaume lazima uwe kinganganizi kama kwel una nia.tatzo nayeye alionyesha dalil za kunichunguza mfano wa maswal yake kwanin unanipenda,wewe unaweza kubali mpenz wako akuache,ujawai kuwa na mpenz.mwanaume mwisho wa siku nikapigwa kibuti akaniambia SIKUPENDI NA SITAK MAWASILIANO NA WEWE KAMWE.yote haya niliambiwa face to face nikiwa nyumban kwao.nilkuwa nimemnunulia zawadi nikamkabidh akazipokea niliondoka lakn nilpofka mbal nikazma gari kama lisaa then nikapata nguvu nkaondoka.niliumia lakni nishasahau[/QUOTE]
Lol! mambo mengine yanachekesha hata kama yanaumiza sana. Pole sana Mkuu.
 
Nimeachwa mara nying, ziwez kuziandika hapa. Mkeo wangu niliyenae, alishanipiga kibuti mara 2 kabla ya ndoa.
 
Bora kibuti cha kuwekwa wazi - kibuti cha kimyakimya ni noma! Siwezi saau, ila nitajitahidi kusaau, nililipenda kumbe lenyewe lilikuwa kwenye research.

Ukome kupendapenda kila unaemwona
 
Nimeachwa mara nying, ziwez kuziandika hapa. Mkeo wangu niliyenae, alishanipiga kibuti mara 2 kabla ya ndoa.
nakusifu kwa kung'ang'ania hiyo mutu, sijawah kula kibuti labda kwa sababu ni mgeni wa kudandia bintis hovyo!
 
na kibuti cha online ndo kitakurestisha in peace wallah! utagundua wewe sio kakajambazi ni kakakibaka,lol
bora uumie moyoni,usimtokee
Mi kuna mmoja humu nampenda, kwa jina nahisi vile vile ni mzuri,,lakini naogopa kibuti.
 
Ni kawaida kwa mwanaume aliyekamilika kula vibuti. Vibuti vina staili tofauti, kuna kumwagwa na kumiminwa.Hiki ni kibuti ambacho sitakaa nikisahau, kwani nilipopewa haya maneno, sikuwa na moyo wa kuendelea, licha ya kumfatilia kwa miaka 5,

namnukuu "unajua dunia hii unaweza ukampenda sana mtu kama mpenzi, naye akakupenda kama rafiki? Tindikali kaa ukijua kuna watu walipenda sana, wakafiwa na wake zao, lakini walikuja kuoa na wakapenda tena na maisha yakaendelea, sembuse mimi usiyejua matamu na machungu yangu? Na isitoshe dini itakusumbua, naomba tubaki tu kama marafiki.....", nilimpenda sana huyu binti na bado nampenda, lakini cha kusikitisha alinipenda kama rafiki.

Je wewe una uzoefu gani na vibuti?

Dah.. Pole mkuu.
 
Dah!sijui nianzie wapi!but to cut short the story nimekuwa vibutiproof.
 
Dah!hii thrid imenitach kinoma,maana toka nimeanza kuingia ktk mahucano cjawah kuish na msichana yoyote yule tukamalza walau mwaka 1,yaani lolote lile litatokea baada ya cku chache ktk uhucano na kinachofata hap ni kupgwa kibuti tu,smtym ht sbbu ya msing siioni bt huwa nahc lbd nnagundu.Duh,inauma sn yaan km mwez m1 ulopt tyr nshapgw kibut baad ya miez 3 tu ya mahusiano.

kupetpet unajua?
kwenye mechi vipi?
 
Nimewahi kupiga vibuti ila Sijawahi pigwa kibuti, ila some time natamani nione inakuwaje mtu ukipigwa kibuti
 
Back
Top Bottom