Kibuti ambacho hutakaa ukisahau!

Kama kaolewa kaokoka kweli toka kwenye makucha ya waonjaji kama Muuza Sura lol!

acha tu!mwenyewe nilikolea nilitaka nichukue jumlajumla wakati najipanga watu walishajipanga kitambo!......kibuti huja kuuma zaidi pale raia wanapojua mzee umepigwa cha mbavu!yaani kama hii ndoa haikuwa siri basi raia waliongea sana!kuna dada nilimmind sana aliniambia sura hailipi bill watu wanataka mshiko mwenye kisu kikali ndo atakula nyama
 
Wadau nipo ndani ya Sumry naelekea Dar, sijaamini kwani nimemuona binti aliyenipiga kibuti nikiwa form 3, sikuwah kumuona tena mpaka hii leo
 
Naona humu kuna mademu wameprint na kukariri hicho kibuti kwa matumizi ya baadae.
 
Maisha ya mapenzi ni fumbo zito kulifumbua,sijao na cjuwi nitaowa lini but what i knw hata alie owa ajuwi. Mapenz yanaumiza sana lakini mtu imara na mwenye msimamo ktk maisha ataendelea kuish wanyonge kujifia ama kujiuwa. Nilazima vijana tuwe imara ktk kumuombo Mungu maana either wewe mkiristo,muhslamu ama mpagani umeandikiwa mke1 tu mtakae pendana kujaliana ktk shida na raha. Hvyo mim kwangu kupigwa kibuti nifuraha kubwa na uchungu kidogo kwa vile mm nimwanadamu. Lakini ktk yote mke wangu yupo na anakuja! So mashaka huzuni kamwe haziniwezi. Kuna msemo unasema Mungu humleta mtu ktk maisha ya mwanadamu kwa sababu maalumu na Mungu hututenga na mpendwa ama rafiki fulan kutuokoa na jambo fulani tusilo lijuwa!
 
Nilipigwa kibuti baada ya kutangaza ndoa!!! Nimekaa na demu kwenye mahusiano kwa miaka miwili na tulikuwa kama tunapendana sana na alikuwa ananishawishi nimuoe!!! Ile kumwambia sasa muda umefika nikuoe, akasepa!!!! Et ye mdogo, mila za kwao mpaka dada yake aolewe kwanza na n.k!!! Nilikonda ka mgonjwa kwa siku mbili tuu!!!
 
Nilipigwa kibuti baada ya kutangaza ndoa!!! Nimekaa na demu kwenye mahusiano kwa miaka miwili na tulikuwa kama tunapendana sana na alikuwa ananishawishi nimuoe!!! Ile kumwambia sasa muda umefika nikuoe, akasepa!!!! Et ye mdogo, mila za kwao mpaka dada yake aolewe kwanza na n.k!!! Nilikonda ka mgonjwa kwa siku mbili tuu!!!
pole mkuu, vipi dada zake walipoolewa alirudi tena?
 
Hahahahaaaaa!!! Bahati mbaya mpaka leo dada zake hawajaolewa, na nimeoa mwingine anajaribu kutaka kuharibu ndoa ili aingie yeye!!! Kitu hii imenifanya niamini kuwa malipo ni hapa hapa dunia!!


pole mkuu, vipi dada zake walipoolewa alirudi tena?
 
Hivi hicho ni kibuti au kukataliwa? Na ni kweli kwamba si kweli kupenda ni once, uwongo mtupu, tunapenda kila tukipata nafasi.
 
aaah umenikumbusha mbali, hapo lazima uangalie backorder cost, holding & ordering cost, mwisho wa siku inabidi uminimize Total cost.
<br />
<br />
umenikumbusha mg 340 na mg 341 nilipokuwa nasoma uhandisi pale mlimani chini ya dr kafuku.
 
Nshapigwa saa 3 baada ya kumake love,akanambia uhusiano hauna future,then nikapigwa siku 3 baada ya uhusiano mtoto akanambia simjali,nshapigwa tena na mtu akanambia tuvunje uhusiano,nkambia poa,akaguna kumbe alikua anatania,mi nikamaanisha maana nshazoea
<br />
<br />
Tamu hii mwanaume msimamo.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom