Kiburi kinachelewesha maendeleo jiji la Mbeya

Nasikitika sana jiji la Mbeya kubeba taswila ya kutoheshimu, viongozi wakuu wa kitaifa na mamlaka zao. Matokeo yake jiji limekuwa linachelea kupata maendeleo ya haraka, kwa sababu ya kukosa ushirikiano dhabiti kutoka mamlaka za kiserikali.

Ipo wazi kuwa, wana Mbeya wafike mahari, watambue ipo haja ya kukubali kushirikiana na viongozi wakuu pamoja na mamlaka zao, katika kujenga jiji la Mbeya. Hii biashara wanayofanya ya kujionesha ni watovu wa nidhamu kwa serikali haitowafikisha popote, zaidi zaidi itakuwa ni hasara kwa kuendelea kukosa miradi ya maendeleo na kusahaulika.

Rai yangu: bado nafasi ipo ya kushirikiana na serikali, ifike mahari tutambue kwa busara yupi ni mtu sahihi ambaye anaweza kutuvusha katika daraja kuelekea katika maendeleo ya kweli, ifike mahari tutambue tunapaswa kujenga mahusiano mema na viongozi katika mamlaka zao za serikali kwa ajili ya maendeleo yetu, tukosoe kwa staha na adabu pale ambapo tunaona mambo hayaendi sawa, kuanzia sasa tujenge taswila mpya hakika jiji la Mbeya litatoboa, kwani lina sifa zote za kutoboa ila wanasiasa wanalichelewesha jiji kutoboa.
Mkuu hii ni 50 - 50 bhana, mbona wanapoomba kura wanapiga push ups kibao wakishapata wanasahau walichoahidi ss kwann umpigie magoti mtu kwa kazi ambayo alitakiwa kuwajibika [emoji817]% kwa waliomchagua!

Am proud of Mbeya City
Am proud of MVP SUGU
 
Taswira sio taswila
Thabiti sio dhabiti
Mahali sio mahari
Nasikitika sana jiji la Mbeya kubeba taswila ya kutoheshimu, viongozi wakuu wa kitaifa na mamlaka zao. Matokeo yake jiji limekuwa linachelea kupata maendeleo ya haraka, kwa sababu ya kukosa ushirikiano dhabiti kutoka mamlaka za kiserikali.

Ipo wazi kuwa, wana Mbeya wafike mahari, watambue ipo haja ya kukubali kushirikiana na viongozi wakuu pamoja na mamlaka zao, katika kujenga jiji la Mbeya. Hii biashara wanayofanya ya kujionesha ni watovu wa nidhamu kwa serikali haitowafikisha popote, zaidi zaidi itakuwa ni hasara kwa kuendelea kukosa miradi ya maendeleo na kusahaulika.

Rai yangu: bado nafasi ipo ya kushirikiana na serikali, ifike mahari tutambue kwa busara yupi ni mtu sahihi ambaye anaweza kutuvusha katika daraja kuelekea katika maendeleo ya kweli, ifike mahari tutambue tunapaswa kujenga mahusiano mema na viongozi katika mamlaka zao za serikali kwa ajili ya maendeleo yetu, tukosoe kwa staha na adabu pale ambapo tunaona mambo hayaendi sawa, kuanzia sasa tujenge taswila mpya hakika jiji la Mbeya litatoboa, kwani lina sifa zote za kutoboa ila wanasiasa wanalichelewesha jiji kutoboa.
 
Kwa nini polisi na mahakama zisitumike kama watu hawatii sheria za nchi na viongozi wa kitaifa?
Kiburi mkuu ni kutokutii mamlaka pamoja na kutoheshimu mamlaka za viongozi hasa wa kitaifa, hii inaleta pengo la viongozi kukosa ushirikiano na wananchi katika kufanya kazi za maendeleo, ingawa kwa kiasi fulani wananchi wameanza kuamka, na wamegundua hii biashara wanayofanya inawakata sana, haina faida hata kidogo, zaidi zaidi ni maumivu tu.
 
Nasikitika sana jiji la Mbeya kubeba taswila ya kutoheshimu, viongozi wakuu wa kitaifa na mamlaka zao. Matokeo yake jiji limekuwa linachelea kupata maendeleo ya haraka, kwa sababu ya kukosa ushirikiano dhabiti kutoka mamlaka za kiserikali.

Ipo wazi kuwa, wana Mbeya wafike mahari, watambue ipo haja ya kukubali kushirikiana na viongozi wakuu pamoja na mamlaka zao, katika kujenga jiji la Mbeya. Hii biashara wanayofanya ya kujionesha ni watovu wa nidhamu kwa serikali haitowafikisha popote, zaidi zaidi itakuwa ni hasara kwa kuendelea kukosa miradi ya maendeleo na kusahaulika.

Rai yangu: bado nafasi ipo ya kushirikiana na serikali, ifike mahari tutambue kwa busara yupi ni mtu sahihi ambaye anaweza kutuvusha katika daraja kuelekea katika maendeleo ya kweli, ifike mahari tutambue tunapaswa kujenga mahusiano mema na viongozi katika mamlaka zao za serikali kwa ajili ya maendeleo yetu, tukosoe kwa staha na adabu pale ambapo tunaona mambo hayaendi sawa, kuanzia sasa tujenge taswila mpya hakika jiji la Mbeya litatoboa, kwani lina sifa zote za kutoboa ila wanasiasa wanalichelewesha jiji kutoboa.
1961-2019 nchi hii inaongozwa na ccm. mpaka leo kunawatt wanakaa chini shuleni. je nimatokeo ya kiburi cha wazazi wao kwa viongozi wa kitaifa?
 
Nasikitika sana jiji la Mbeya kubeba taswila ya kutoheshimu, viongozi wakuu wa kitaifa na mamlaka zao. Matokeo yake jiji limekuwa linachelea kupata maendeleo ya haraka, kwa sababu ya kukosa ushirikiano dhabiti kutoka mamlaka za kiserikali.

Ipo wazi kuwa, wana Mbeya wafike mahari, watambue ipo haja ya kukubali kushirikiana na viongozi wakuu pamoja na mamlaka zao, katika kujenga jiji la Mbeya. Hii biashara wanayofanya ya kujionesha ni watovu wa nidhamu kwa serikali haitowafikisha popote, zaidi zaidi itakuwa ni hasara kwa kuendelea kukosa miradi ya maendeleo na kusahaulika.

Rai yangu: bado nafasi ipo ya kushirikiana na serikali, ifike mahari tutambue kwa busara yupi ni mtu sahihi ambaye anaweza kutuvusha katika daraja kuelekea katika maendeleo ya kweli, ifike mahari tutambue tunapaswa kujenga mahusiano mema na viongozi katika mamlaka zao za serikali kwa ajili ya maendeleo yetu, tukosoe kwa staha na adabu pale ambapo tunaona mambo hayaendi sawa, kuanzia sasa tujenge taswila mpya hakika jiji la Mbeya litatoboa, kwani lina sifa zote za kutoboa ila wanasiasa wanalichelewesha jiji kutoboa.
Hayo ni maono yako tuu! Pia ushauri nawe urudi shule kwanza upate mwongozo wa uandishi mzuri mfano tuu dhabiti-thabiti mahari-mahali taswila-taswira. Kama unaona viatu vinakutosha jaribu utoke na aibu ya mwaka
 
Mbeya hatuna shobo, wawekezaji wanazidi kumiminika 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220604-091607.png
    Screenshot_20220604-091607.png
    65.4 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220604-091730.png
    Screenshot_20220604-091730.png
    62.3 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220604-091704.png
    Screenshot_20220604-091704.png
    64.8 KB · Views: 13
Back
Top Bottom