Kiburi kinachelewesha maendeleo jiji la Mbeya

Nowaka

Member
Joined
Apr 5, 2019
Posts
20
Reaction score
13
Nasikitika sana jiji la Mbeya kubeba taswila ya kutoheshimu, viongozi wakuu wa kitaifa na mamlaka zao. Matokeo yake jiji limekuwa linachelea kupata maendeleo ya haraka, kwa sababu ya kukosa ushirikiano dhabiti kutoka mamlaka za kiserikali.

Ipo wazi kuwa, wana Mbeya wafike mahari, watambue ipo haja ya kukubali kushirikiana na viongozi wakuu pamoja na mamlaka zao, katika kujenga jiji la Mbeya. Hii biashara wanayofanya ya kujionesha ni watovu wa nidhamu kwa serikali haitowafikisha popote, zaidi zaidi itakuwa ni hasara kwa kuendelea kukosa miradi ya maendeleo na kusahaulika.

Rai yangu: bado nafasi ipo ya kushirikiana na serikali, ifike mahari tutambue kwa busara yupi ni mtu sahihi ambaye anaweza kutuvusha katika daraja kuelekea katika maendeleo ya kweli, ifike mahari tutambue tunapaswa kujenga mahusiano mema na viongozi katika mamlaka zao za serikali kwa ajili ya maendeleo yetu, tukosoe kwa staha na adabu pale ambapo tunaona mambo hayaendi sawa, kuanzia sasa tujenge taswila mpya hakika jiji la Mbeya litatoboa, kwani lina sifa zote za kutoboa ila wanasiasa wanalichelewesha jiji kutoboa.
 
Usishawishi watu mambo ya kipuuzi af huna lolote una mpigia kampeni Dk tulia japo hujaweka wazi bora kukosa kuliko kujipendekeza sisi wana Mbeya tuna amini kama ipo ipo tu lakini hatujipendekezi kwa mtu wakitaka watupotezee mazima!!!!
 
Kiburi kipi? Mbeya yote ni ya wanaCCM kasoro Jiji umeona kuna mabadiliko?

MBOGAMBOGA hawafanyi loloyr kwenye jimbo la upinzani,kwani walitaka kufanya mradi wakaambiwa waache?wao wanataka lazima achaguliwe SANENE,sasa maana ya upinzani iko wapi kama utakuwa na jina tu bila wabunge na madiwani?
Pia hao mbogamboga ela za maendeleo siyo zao,ni zetu wote,na wao ndiyo wa kuwalaumu kwanini waww na uoendeleo au wakubaluwe kila wanachotaka,
ACHA WOGA BANA.
 
Nasikitika sana jiji la Mbeya kubeba taswila ya kutoheshimu, viongozi wakuu wa kitaifa na mamlaka zao. Matokeo yake jiji limekuwa linachelea kupata maendeleo ya haraka, kwa sababu ya kukosa ushirikiano dhabiti kutoka mamlaka za kiserikali.

Ipo wazi kuwa, wana Mbeya wafike mahari, watambue ipo haja ya kukubali kushirikiana na viongozi wakuu pamoja na mamlaka zao, katika kujenga jiji la Mbeya. Hii biashara wanayofanya ya kujionesha ni watovu wa nidhamu kwa serikali haitowafikisha popote, zaidi zaidi itakuwa ni hasara kwa kuendelea kukosa miradi ya maendeleo na kusahaulika.

Rai yangu: bado nafasi ipo ya kushirikiana na serikali, ifike mahari tutambue kwa busara yupi ni mtu sahihi ambaye anaweza kutuvusha katika daraja kuelekea katika maendeleo ya kweli, ifike mahari tutambue tunapaswa kujenga mahusiano mema na viongozi katika mamlaka zao za serikali kwa ajili ya maendeleo yetu, tukosoe kwa staha na adabu pale ambapo tunaona mambo hayaendi sawa, kuanzia sasa tujenge taswila mpya hakika jiji la Mbeya litatoboa, kwani lina sifa zote za kutoboa ila wanasiasa wanalichelewesha jiji kutoboa.
Unaizungumzia Mbeya IPI?
Watu ndio viburi?
Wamekwamisha kipi?

Remember We dare to talk openly here
 
Kwanza hujaeleza hujaeleza Mbeya kwamba kuna kiburi cha aina gani, pili ushirikiano unaousema ni ushirikiano wa aina gani? Mbona wakuu wa mikoa kibao wanashirikiana vyema na wananchi unataka kiaje yaani? Au unataka CCM itawale Mbeya mjini ndio useme sio kiburi?
 
Umeanza kampeni ili mheshimiwa apokelewe vizuri mei mosi
 
Kama kutoipigia CCM kura ni kiburi basi wacha tuwe viburi miaka yote. Hatutaki unyonge sisi. Hakuna siku walitaka kuleta maendeleo sisi tukagoma. Ni wao wenyewe na roho zao mbaya kujiona miungu watu ndio wanatucheleweshea maendeleo.

Acha kampeni bubu wewe.
 
Utuache na mbeya yetu, sehemu gani Tanzania wameshirikiana na viongozi na maendeleo yakawepo? Acha kuwalisha watu maneno ya uongo kama anavyofanya Chalamila mkuu wa mkoa mbeya.
 
Usishawishi watu mambo ya kipuuzi af huna lolote una mpigia kampeni Dk tulia japo hujaweka wazi bora kukosa kuliko kujipendekeza sisi wana Mbeya tuna amini kama ipo ipo tu lakini hatujipendekezi kwa mtu wakitaka watupotezee mazima!!!!
Sidhani kama nimeshawishi upuuzi, pia sidhani kama nimempigia kampeni kiongozi fulani, andiko langu limejielekeza katika kubadilika wana Mbeya, biashara tunayofanya haitusaidii inatukata sana, tubadilishe huu utamaduni wa kujitia majeuri mbele ya walioshika makali.
 
Back
Top Bottom