barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Kakufanyaje huyu jamaa? Bila shaka kakugongea mkeo.Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa...
WapiNa nyinyi siku hizi mmekua watetezi wa huyo mama yenu mpaka mnaboa,Mnajificha tu ktk mgongo wa Chadema ila ni CCM kumoyo
CCM hampendi Mawazo huru,Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa...
Mawazo huru baada ya kuondolewa kwenye ulaji? Alikuwa wapi kuanzisha shule wakati watu wanapigwa risasi?Ccm hampendi Mawazo huru,
Acheni watu waongee,sio lazima ukubaliane na kila kitu wanachofanya wenzako,
Wakikutana polepole wa warioba na wa V8 lazima damu imwagikee...Ni Pole pole yupi unamuongelea hapa
Kuna Polepole wa Katiba ya Warioba na Polepole huyu wa "Unaijua V8 wewe"?
Huyu ni mtu mnafiki kweli ana elements za umagu.Hiyo paragraph ya pili inahitaji PhD mpaka uelewe kilichoandikwa
Anyway but me namkubali Polepole anaongea ukweli na ana element za umagu
Hana tofauti na Musiba na Tanzanite yake.Hicho kipindi chake anachokiita 'shule ya siasa' ukitazama kwa makini utagundua amekianzisha mahususi kumchamba Mama Cheif na kumfundisha kazi.
Polepole hana moral authority ya kutoa hoja yoyote ya maana.Ungekuwa unakosoa vitu au hoja anazoziongelea tungekuona wa maana kuliko hivi unavyokuja kuongea ugoro.
Kwani tatizo liko wap mtu kutoa maoni yake au kufundisha jamii?Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa...
DuhKwanini aombewe?
Halafu unaweza kuta yeye hata hauhitaji huo ubunge wala hayuko ki-chama vileee ila wewe unastresika kumtafutia maombi hapa.
Wewe unafikiri Polepole mtoto au kapungukiwa ufahamu?
Polepole alikuwa Chawa wa Magufuli,na zile propaganda zilikuwa za kumkweza mungu mtu wake,na Wala hakuwa anakipigania Chama chake.Yeye alijua Magufuli ndiyo CCM.Tena