Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba Sc

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
556
1,947
Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga sc!

Kibu Denis hana thamani ya milioni 300 wala mshahara wa laki 9 kwa mwezi achilia mbali mil 15 anayotaka, huyu ni mchezaji wa kawaida sana tena zaidi ya sana, ebu fikiria huyu ni mchezaji anayecheza nafasi ya ushambuliaji ila cha ajabu msimu mzima 2023/2024 amecheza mechi 20 za ligi na kufunga goli moja na assist mbili. Unasumbuliwaje kichwa na mchezaji wa namna hii?. Huyu Kibu Denis ni zaidi ya bumunda, limejaa lakini ndani upepo. Aina yake ya mpira ni sawa na safari za chizi kwenda umbali mrefu kisha kurudi na makopo.

Ila ukiuliza pale umbumbumbuni kwa nini wanaliongezea mkataba hilo chakubanga, utasikia jamaa anajituma sanaa!!, hivi ni nani aliwaroga hawa kolozidad? Wapi katika hii dunia kuna tuzo ya mchezaji anejituma, yaan mtu anacheza nafasi ya ushambuliaji, ila mechi 18 mfululizo hana assist wala goli la kusingiziwa anawaendesha kiasi hicho? Vipi mngekuwa na mtu kama pacome au maxi au aziz ki, si mngekuwa mnatembea mnajamba jamba hovyo kwa shibe ya furaha.. Hovyo kabisa
 
Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga sc!

kibu Denis hana thamani ya milioni 300 wala mshahara wa laki 9 kwa mwezi achilia mbali mil 15 anayotaka, huyu ni mchezaji wa kawaida sana tena zaidi ya sana, ebu fikiria huyu ni mchezaji anayecheza nafasi ya ushambuliaji ila cha ajabu msimu mzima 2023/2024 amecheza mechi 20 za ligi na kufunga goli moja na assist mbili. unasumbuliwaje kichwa na mchezaji wa namna hii?. Huyu kibu denis ni zaidi ya bumunda, limejaa lakini ndani upepo. Aina yake ya mpira ni sawa na safari za chizi kwenda umbali mrefu kisha kurudi na makopo.

Mkuu umeyasiliba hatari! Simba hawana viongozi bali wana mavi-ongozi!
 
Football ni biashara na kwenye biashara bargaining ndio Kila kitu
Ukishindwa ku bargain unaweza kuwa na Kila kitu na ukalipwa kidogo
Ni kweli na kitu kinachompa mchezaji bargain power wakati wa usajili ni takwimu zake kiwanjani.. Na mpaka sasa takwimu za kibu Denis niza hovyo, kwa pesa hiyo simba sc wanaweza pata mchezaji productive mzuri kuliko kibu, over!
 
Simba imejaa wapigaji hebu angalia kina Baruanwana mechi ngapi na goli ngapi wanashindwa kuziba mapengo wanahangaika na mchezaji mbinafsi asiyejua kucheza litimu kisa tu kaifinga yanga Mara mbili
Na li Kibu limejua kuwashika korodani! Likawatishia kwamba Yanga wanalitaka, viongozi wa Yanga nao kwa unafiki wakajidai kupeleka ofa! Makolo yakaingia kingi!
 
Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga sc!

kibu Denis hana thamani ya milioni 300 wala mshahara wa laki 9 kwa mwezi achilia mbali mil 15 anayotaka, huyu ni mchezaji wa kawaida sana tena zaidi ya sana, ebu fikiria huyu ni mchezaji anayecheza nafasi ya ushambuliaji ila cha ajabu msimu mzima 2023/2024 amecheza mechi 20 za ligi na kufunga goli moja na assist mbili. unasumbuliwaje kichwa na mchezaji wa namna hii?. Huyu kibu denis ni zaidi ya bumunda, limejaa lakini ndani upepo. Aina yake ya mpira ni sawa na safari za chizi kwenda umbali mrefu kisha kurudi na makopo.

Ila ukiuliza pale umbumbumbuni kwa nini wanaliongezea mkataba hilo chakubanga, utasikia jamaa anajituma sanaa!!, hivi ni nani aliwaroga hawa kolozidad? Wapi katika hii dunia kuna tuzo ya mchezaji anejituma, yaan mtu anacheza nafasi ya ushambuliaji, ila mechi 18 mfululizo hana assist wala goli la kusingiziwa anawaendesha kiasi hicho? Vipi mngekuwa na mtu kama pacome au maxi au aziz ki, si mngekuwa mnatembea mnajamba jamba hovyo kwa shibe ya furaha.. Hovyo kabisa
Anacheza na wasiojua boli
 
Kibu kashasaini mkutaba wa miaka 2
Ada ya usajari million 750
Amepewa gari la million 50
Mshahara million 15
Ni hivyo tu

Msimu huu ni kibudenge msihofu ni swala la mda
 
Umeandika kwa akili ndogo mno. Ukiacha takwimu za uwanjani kumbuka kuna biashara kwenye mpira. Pamoja na takwimu za uwanjani inategemea mchezaji na yeye kajiweka vipi kibiashara. George Mpole alikuwa na takwimu nzuri uwanjani ila kibiashara hakuwa na mvuto mkubwa. Hata Ulaya, David Beckham hakuwa mchezaji mkubwa sana kuzidi wengi ila alikuwa mchezaji ghali mno. Na hadi leo ni miongoni mwa wanamichezo matajiri. Kwa hiyo ndugu Kibu na management yake wako sahihi kabisa kuliendea hili suala kibiashara
 
Kibu Denis anamvuto gani wa kibiashara? Au unamaanisha anawauzia kina Mangungu dawa za mvuto toka congo? Mtu hana hata ubalozi wa chupi za karatasi, ebu toa pumba zako hapa..mbuzi mmoja wewe
 
Dada kwanini una hasira kiasi hiki? Kwa heshima ya mumeo sitajibu hayo matusi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom