Kibu Denis Kuikamua Simba Milioni 760

Smart codetz

Senior Member
Jan 25, 2023
191
753
Kibu Denis amesaini mkataba wa miaka 2 kuendelea kusalia simba kwa Ada ya usajili ni milioni 350, mshahara wa 15 na Gari yenye thamani ya milioni 50.

Kibu jumla atakusanya milioni 760 ndani ya miaka 2, kama pesa za usajili, mshahara pamoja na gari.

20240511_140659.jpg
 
Swali ni je, timu inao uwezo wa kulipa hivyo?

Msimu mzima, trophy ina thamani ya sh 600m, mchezaji mmoja wa timu ana thamani ya sh 380m kwa mwaka!

Vyanzo vya mapato, viingilio vya mechi, uuzwaji wa jezi na matangazo ya wadhamini; vyote kwa pamoja, 75% zinaingia mifukoni, iliyobaki ndo iendeshe timu; ni kiasi gani timu inapata kwa msimu, imekuwa SIRI!
 
Back
Top Bottom