Mama anaupiga mwingi, ila hana bunge hana washauri wenye nia nzuri, hana kabineti nzuri, kashindwa kuamua maamuzi magimu.
Mbona haohao ndo waliokua na Magu na mambo yalienda?Mama anaupiga mwingi, ila hana bunge hana washauri wenye nia nzuri, hana kabineti nzuri, kashindwa kuamua maamuzi magimu.
Mimi aniache hapo ntushuka na kambaDereva arudi nyuma kwa reverse atuokoe.
Jpm alikua mbabe ana pora mali za watu kiubabe pia hali kipindi cha magu ilikua kama hi isipokua yeye alitumia sana media propaganda kutuaminisha kwamba hari ni shwari, ila JPM ali haribu mifumo ya uchumi wetu kuliko Raisi mgine.......huyu mama is a victim of the economic effects of JPm.Mbona haohao ndo waliokua na Magu na mambo yalienda?
Hatukua na matozo ya kipumbavu namna hii.
Hatukua na kutishana na corona kiasi hiki ili tupewe hela na wazungu.
Tulikua na msimamo thabiti kiasi cha hao wanaotupangia sasa kutuogopa.
Mwanamke aliumbwa kuzaa tu na kumsaidia mumewe,full stop.
Na bado,hata mishahara itamshinda kulipa soon.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew ni sukuma gang, na huyo jua wako corona ikampiga chiniMbona haohao ndo waliokua na Magu na mambo yalienda?
Hatukua na matozo ya kipumbavu namna hii.
Hatukua na kutishana na corona kiasi hiki ili tupewe hela na wazungu.
Tulikua na msimamo thabiti kiasi cha hao wanaotupangia sasa kutuogopa.
Mwanamke aliumbwa kuzaa tu na kumsaidia mumewe,full stop.
Na bado,hata mishahara itamshinda kulipa soon.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndiyo ile inaitwa end of the road
Uko sahihi mkuuJpm alikua mbabe ana pora mali za watu kiubabe pia hali kipindi cha magu ilikua kama hi isipokua yeye alitumia sana media propaganda kutuaminisha kwamba hari ni shwari, ila JPM ali haribu mifumo ya uchumi wetu kuliko Raisi mgine.......huyu mama is a victim of the economic effects of JPm.
Bora kukamua watu 10 walioiibia nchi na serikali kwa miaka,na mambo yakaenda,kuliko kukamua wananchi masikini kwa tozo za hovyo. Hivi leo unamtumia mtu 25,000.....anakatwa na mtandao,anakatwa VAT,na bado anakatwa tozo ya serikali.Jpm alikua mbabe ana pora mali za watu kiubabe pia hali kipindi cha magu ilikua kama hi isipokua yeye alitumia sana media propaganda kutuaminisha kwamba hari ni shwari, ila JPM ali haribu mifumo ya uchumi wetu kuliko Raisi mgine.......huyu mama is a victim of the economic effects of JPm.
Watu waliofilisika vichwani haya ndo huwa mawazo yao.Wew ni sukuma gang, na huyo jua wako corona ikampiga chini
Nchi abaye ina mifumo ya mahakama Raisi huwezi kutoka ukahukumu watu kwa tuhuma tu,.....huyu huyu JPM ndo alianza kuwaibia wa machiga 20, 000 kwa kila moja na uku anawaita wanyonge wakeBora kukamua watu 10 walioiibia nchi na serikali kwa miaka,na mambo yakaenda,kuliko kukamua wananchi masikini kwa tozo za hovyo. Hivi leo unamtumia mtu 25,000.....anakatwa na mtandao,anakatwa VAT,na bado anakatwa tozo ya serikali.
Mtu huyohuyo,anakatwa VAT kwenye vocha,bidhaa za madukani,umeme nk.
Halafu unatetea ujinga.
Mimi ni mwanaCCM tena kindakindaki,ila kuwanyonya wananchi masikini ndo sikubaliani na serikali.
Kuhusu corona,hakuna nchi ambayo haina madhara au haijaathirika na corona. Alichokua akikifanya Magu ni kutupa ujasiri na kutufanya kufanya kazi kazi ambazo nyingine zilikua ni tiba na kinga ya corona. Leo unaambiwa ukipata corona au ukiwa na dalili ni usikae ndani,usilala,tembeatembea.
Leo misaada itapelekea lockdown soon.
Leo tumeanza kuambiwa harusi na matamasha ni marufuku. Unategemea kinafuata nini?
Soon tutafunga shule na vyuo.
Soon tutaambiwa kanisani wasizidi kumi.
Soon tutaambiwa abiria wasizidi 10 na upuuzi mwingine kama huo.
Yaani tukubali,wapiga dili huu ndiyo msimu wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mifumo ipi hiyo ya kiuchumi iliyoharibiwa?Jpm alikua mbabe ana pora mali za watu kiubabe pia hali kipindi cha magu ilikua kama hi isipokua yeye alitumia sana media propaganda kutuaminisha kwamba hari ni shwari, ila JPM ali haribu mifumo ya uchumi wetu kuliko Raisi mgine.......huyu mama is a victim of the economic effects of JPm.