KIBONZO; Nathan Mpangala!

Hajakipatia. Angekuwa ameweka ni nani anayemkaanga ingekuwa nzuri sana. Maana hajikaangi mwenyewe kuna mtu anamkaanga
 
Hajakipatia. Angekuwa ameweka ni nani anayemkaanga ingekuwa nzuri sana. Maana hajikaangi mwenyewe kuna mtu anamkaanga

Mkuu
Ni kweli ila hata dhana ya kujikaanga mwenyewe inawezekana kwani unaona wanaoitafuna CCM ni mchwa ndani ya chama na Serikali pia! Nadhani huyo anayetazama ni mwananchi wa kawaida!
 
pangekuwa na mchochea kuni ambaye fulana yake inamalizia na maandishi DM, herufi ya mwanzo yaani C iwe imefifia au inaonekana kwa mbaaali! ingekuwa poa zaidi.
 
Kweli wakuu. Na inaonekana mambo yake ya ndani ndio yanamfanya mpaka anajikaanga mwenyewe.
Na bado hajajijua tuu kuwa ataungua na kuteketea
 
Hajakipatia. Angekuwa ameweka ni nani anayemkaanga ingekuwa nzuri sana. Maana hajikaangi mwenyewe kuna mtu anamkaanga
Mkuu ... amekipatia sana. Ukweli ni kwamba CCM ndio wanajimaliza wenyewe (japo hawajui) na si vyama vingine vya upinzani vinawamaliza. Kina Wareboya wamekazana na Dr Slaa kwa kufikiri kuwa wakishusha umaarufu wake na Chadema itakufa na upande wa pili CCM itapanda tena chati kumbe wanajidanganya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom