Kibonzo: Mkakati m-badala wa CCM kuhusu kodi ya Simu

Kibonzo: Mkakati m-badala wa CCM kuhusu kodi ya Simu

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,061
kp23072013.jpg
 
Japo ni kibonzo lakini Hii mbinu ya ku-divert from National Interest mara nyingi CCM wamekua wakiitumia na inafanikiwa, tehe teh teh watanzania kazi tunayo!!
 
hii nayo itatoka top ten wabongo tulivyo vishoka tutaendelea kuumizwa kama kawaida.
 

Mimi nakubaliana na KP kwa sababu kama tunavyoongea, Isu ya GESI MTWARA imefutwa na Issu ya Sim Cards Tax.

Hivyo ikitokea jambo lingine lazima hii ishu itasahaulika na tutaendelea kukatwa kila mwezi.

NDIVYO WATANZANIA TULIVYo.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom