Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,786
Ilikuwa zamani hiyo Mkuu sio kipindi hiki mtoto wa kike ndio mpango mzimaHuwa najiuliza sipati jibu!! Kwanini kwenye family nyingi more than 75%akizaliwa mtoto wa kiume wanafurahi zaidi ya mtoto wa kike?
mtoto wakike kumlea hadi akuwe na bikira yake ni necta ya form4.Huwa najiuliza sipati jibu!! Kwanini kwenye family nyingi more than 75%akizaliwa mtoto wa kiume wanafurahi zaidi ya mtoto wa kike?
azo mgando tu ambayo yamekua mapokeo..ukija madarasa yangu ya gender utaelewa zaidiHuwa najiuliza sipati jibu!! Kwanini kwenye family nyingi more than 75%akizaliwa mtoto wa kiume wanafurahi zaidi ya mtoto wa kike?