Good!!Upinzani Zanzibar na Marehemu Maalim Seif
Never everMti Umekatwa imeachwa mizizi, utachipua tena
COVID-19 imeingia ikuluView attachment 1706134
Huu mti ulikua imara na mizizi yake iliulinda mti huu usianguke. Aliyeukata mti huu ana nyenzo imara kama chainsaw.
Apumzike kwa amanisijaelewa
Kweli kabisa. Check mizizi ilivyo kamata chini. Covid ni chainsaw inakatisha maisha ya watu.Kumbe mbuyu haujaanguka ila umekatwa.