Kuna mtu hata asevu mwaka mzima hawezi kutimiza hiyo 1.8 m, mfano mtu mwenye kipato net laki 4, hiyo ni basic salary ya laki 5 na nusu.
Unadhani anaweza ku-afford kusave 150,000 kwa mwezi ili aje anunue simu ya 1.8M?
Na hao ndo waliojaa humu JF (50%+ members humu wana kipato cha gross chini ya 1M).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie nikipewa techno sikatai nampa Billionaire Dr Shika imsaidie kufuatilia Urais wake wa Kampuni Urusi
MIMI SINA MENGI YA KUONGEA ILA KALE KATUNDA KANAPOWEKWA KWENYE KIFAA FLANI HIVI CHA MAWASILIANO TENA CHA MKONONI NA KIKAITWA SIMU!!ASIKUAMBIE MTU NI ZAIDI YA ULEVI TENA ULEVI MKUBWA MNO YAANI
hahahahaha na mimi ntahamia huko mkuu maana chaja yangu ishakuwa kero sasaMimi natumia IPhone
Moja ya Faida ya IPhone siazimwi Charger.
Nilihama Samsung kwa kero ya kuazimana charger na team techno
Sababu tunapenda sana maigizo.wengi wetu tumekuwa na tabia ya kutowatilia maanani watu wenye vitu flani.
Unaweza azima gari ukaenda kusumbua watu road.kumbe hujui hata bima yake ni aina gani.
Unaweza kuwa na iphone ya 2mill harafu unakodi bodaboda kwenda misele ambayo ni bei hiyo hiyo.
Kifupi hii ni mauzo kwa watu wenye mashaka na vipato vyao,ila ambaye amemaliza anaona ujinga tu.
Hiyo ela ya mboga 1m naandika hapa wameingiza siku ya j3 tu within masaa 2 ukitaka mtafute ontario akuambie vijana wake wanafanya nin mda huu watu kwa siku wanaingiza mapesa kibao we endlea kufikiria stori za Salary
Mimi mmojawapo nachukua simu bure,hata UK simu wanachukua bure wanakubana kwenye contractHahaaa what?
Carrier gani anatoa simu bure kwa wenye good credit?
I mean...a free iPhone X because you have good credit? Sounds too good to be true....anywho...who does that?
Niambie tafadhali....
Wala hakuna ubaya kuwa na simu ya milioni 2 au 3 na kupanda bodaboda.Hizi standard sijui mnatoaga wap kwan kua na sim ya mil 2 na ukapanda boda boda shida iko wapi Utanzania n mzigo sana Ulitaka wenye magari ndo wawe na iphone mbona kwenye manual ya apple uki unbox hakuna mahala wanasema usitumie usafir flan na shida yenu mnataka mtu akiwa na ela ajioneshe
Wala hakuna ubaya kuwa na simu ya milioni 2 au 3 na kupanda bodaboda.
Hela si zako mwenyewe bana...sioni baya hapo.
Unaona sasa...Mimi mmojawapo nachukua simu bure,hata UK simu wanachukua bure wanakubana kwenye contract
Umeanza kunisoma lini wewe?Kumbe sometimes akili ako lazima ipigwe shot ndo inaamka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umeanza kunisoma lini wewe?
KWa hiyo ulikua unataka kutuhabarisha kwamba U got I phone XThat's a matter of perception, preference, and personal opinion.
Thus far, to me, the iPhone X is the shit.
Basi si ajabu unasumbuliwa na tatizo la kujua kusoma na kushindwa kuelewa ulichokisoma.Toka unabeba box na Le Akili kubwa Kingi of all sosho netweks af akawakimbia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Take it as you wish.KWa hiyo ulikua unataka kutuhabarisha kwamba U got I phone X
hahahahaha na mimi ntahamia huko mkuu maana chaja yangu ishakuwa kero sasa
KWa hiyo ulikua unataka kutuhabarisha kwamba U got I phone X
Basi si ajabu unasumbuliwa na tatizo la kujua kusoma na kushindwa kuelewa ulichokisoma.
Hahahaa eti mswaki!,Karibu Mkuu!
Team techno wengi simu zao hazina Charger Sijui Kwanini ?
Mie Mtu akiomba nimuazime Charger naona Kama Mtu kaniazima Mswaki, spendi kabisa, un simu ya laki 9 Halafu huna charger ya elf 30