Kibongo bongo iPhone ni taashira ya hadhi au?

Hahaaa what?

Carrier gani anatoa simu bure kwa wenye good credit?

I mean...a free iPhone X because you have good credit? Sounds too good to be true....anywho...who does that?

Niambie tafadhali....
O2, Vodafone.
 
Nakuvulia kofia...una data za vipato vya watu JF!
 
Kwasababu hazipo huko ulipo. Nimetumia sana latest high end phones for free, ndio maana leo ukiniambia nitoe 2m kununua simu siwezi.
Good for you.

Ningeshangaa sana kuwepo na freebies halafu nisijue ila wewe uwe unajua!
 
Nakuvulia kofia...una data za vipato vya watu JF!

Mkuu huhitaji kutumia akili nyingi kujua kama wengi humu wana kipato cha chini...

Ukiandika thread ya kumiliki biashara kubwa, gari zuri, au kwamba unapata kipato fulani cha juu, angalia idadi ya watakaokuponda vs watakao kuwa upande wako. Walio wengi ni watakao kuponda, kwamba unajiona, nk. Wakati wenye vitu vya namna hiyo wataona kawaida.

Low income earners wana bifu kwa achievers, inakuwa kama wenye vipato ndo waliowasababishia umaskini.
 
Bora wewe umefunguka ukwel wako.. Kipato chako kikukua karibu kwenye ulimwengu wa iphone
 
Oh ok.
 
Mtazamo tu..kuna mtu akiona mwenzake anayo hyo tecno W3 wkt yeye anamiliki tecno Tochi lazma amtamani,na aponde kuwa huyo jamaa anajiskia or atamhc huyu jamaa ana maisha ya juu.Kila mtu anajitahd apate anachokipenda hata akikosa basi akikaribie.Mfano mtu huna nyumba,huna mke /mume mzuri ,huna gari or pkpk..jaman hata simu nzuri ukose?????[emoji854][emoji854][emoji854]
 
Sijawahi kupenda I phone....ata nikipewa bure nitaenda kubadilisha
 
Oh so u know everything...Ok.
Nope, didn't say I know everything.

But I know enough about the big 4 to know they don't give out freebies just like that.

I have worked with them and I have worked for them.

None of them [the big 4] will give a free iPhone X that is sim-free, factory unlocked, A1901 GSM compatible...which is the one I have.

Mine is not tied down to any carrier. It can be used anywhere in the world so long as the carrier uses the GSM network.

So mine doesn't have any strings attached to it. You don't get this one for free anywhere...that I know of.

Now what do you know about the big 4?

Hebu nenda hata kwenye tovuti ya Apple US uone kama utaweza kununua sim-free factory unlocked iPhone X.....
 
nilishangaa kumuona boss wangu mchina,pamoja na utajiri wa karibia tirion 5 za kitanzania anazomiliki lakini anatumia nokia ile ya tochi
 
Sababu tunapenda sana maigizo.wengi wetu tumekuwa na tabia ya kutowatilia maanani watu wenye vitu flani.

Unaweza azima gari ukaenda kusumbua watu road.kumbe hujui hata bima yake ni aina gani.

Unaweza kuwa na iphone ya 2mill harafu unakodi bodaboda kwenda misele ambayo ni bei hiyo hiyo.

Kifupi hii ni mauzo kwa watu wenye mashaka na vipato vyao,ila ambaye amemaliza anaona ujinga tu.
 
Well said mkuu, kila mtu ana hobby na kitu fulani na kukipa uzito kwa upande wake mimi binafsi siwezi kununua simu hata ya laki 5 bora nimtumie hiyo hela mama aninunulie shamba huko kijijini.
We are The same
 
MIMI SINA MENGI YA KUONGEA ILA KALE KATUNDA KANAPOWEKWA KWENYE KIFAA FLANI HIVI CHA MAWASILIANO TENA CHA MKONONI NA KIKAITWA SIMU!!ASIKUAMBIE MTU NI ZAIDI YA ULEVI TENA ULEVI MKUBWA MNO YAANI
 

Kwani lazima watu wote waishi kwa unavofikiria et kaz hana kwan lazima wote wafanye kazi acha kuleta standard zako ambazo si wote wafuate kuna watu wana hizo simu na hawana mitaji na maisha yanaenda kwa mfano huyo alinunua hiyo iPhone possible kwa ajili ya kazi ake fulani kama Forex na mambo mengine so ondoa standard zako za kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…