mkubwa simba
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 284
- 207
Nothing to add......umemaliza mzee,Inategemea na mtazamo wa mtu. WaTz wengine yuko radhi atumie akiba yake yote kununua iPhone, mimi binafsi sinunui simu zaidi ya 300,000/- kwasabsbu nishamiliki latest phones before ambazo nilikuwa napata bure sasa sioni mantiki ya kutoa 2.5m ninunie simu!
Kwa upande mwingine ni priority, mfano naweza kutumia 2m kununua Tv lakini sio simu.
Kwa kumalizia kwangu mimi mtu akimiliki iPhone wala sioni kama kafanikiwa naona ana hobby tu na hio device.
HahahahahHalafu wamiliki wa iPhone wanapenda kuionesha onesha kwa mbwembwe sana.
Mkuu kila mtu ana kitu ambacho anaona kwamba hayo ndiyo mafanikio kwake...
Umeona mkuu, unanunua simu ya 1m+ halafu matumizi yake ya kawaida kabisa, whatsap, call&sms, na ku browse tu, vitu vilivyomo ndani( program) hujawahi vitumia hata robo kwa nini usiwe na simu ya laki 2/3 tuu inatosha.
Uwiii hongera sana kitu unlocked kwa makonda huku wanauza sasa hiv milion kama 3 wengine mbavu za mbwa wanasubir atleast ikae kwenye 2.5m
Kutumia simu sio mafanikio, kila mmoja ana chaguo lake. Wako wanaopenda iphone, wako wanaopenda Samsung na wako wanaopenda Nokia kama Chief Mkwawa.
Nijue mara ngapi sasa.Ukijua kwanini kuna simu za milioni 2 na kuna simu za laki 2 hautoandika hivyo tena.
Sio kweli mm natumia Galaxy S8+ nilinunuaga just zilivotoka tuu almost 1.8M bila VAT...lakini sina hata kazi!Ni ukweli kwamba iphone ndo simu zina bei mbaya sana, kama nikiona mtu ana iphone najua ametumia hela ndefu kununua hiyo iphone.
So, ninachofanya napiga hesabu za haraka haraka kwamba kama anaweza kutumia 1M+ lazima atakuwa na kipato kizuri sana, kwa sababu ninaamini hawezi kukopa kwenda kununua simu.
Mimi nina tecno w3 ya sh 180,000, siwezi kujilinganisha na mtu wa iphone.
Nijue mara ngapi sasa.
Basi sawa, hongera wewe unayejua.Haujui ndio maana umeandika hivyo.
Iyo Iphone Ten inasubiri sana kwa S8 na S8+...truth be toldHiyo X [ten] tayari ninayo...GSM unlocked.
Hapo kwa kweli Apple imepatia saaaaana.
Kweli Mkuu ...ni hobby ya mtu na sio kua eti ni mafanikio...Inategemea na mtazamo wa mtu. WaTz wengine yuko radhi atumie akiba yake yote kununua iPhone, mimi binafsi sinunui simu zaidi ya 300,000/- kwasabsbu nishamiliki latest phones before ambazo nilikuwa napata bure sasa sioni mantiki ya kutoa 2.5m ninunie simu!
Kwa upande mwingine ni priority, mfano naweza kutumia 2m kununua Tv lakini sio simu.
Kwa kumalizia kwangu mimi mtu akimiliki iPhone wala sioni kama kafanikiwa naona ana hobby tu na hio device.
That's a matter of perception, preference, and personal opinion.Iyo Iphone Ten inasubiri sana kwa S8 na S8+...truth be told
Wajinga ndo wanauziwa bei izo....ukienda dukani tafuta bosi wa hapo mwambie akuuzie bila VAT...it's that simpo unapata kwa bei nzuri tuu....maana ukilipa kodi ujue inaenda kukomboa ile bombadia huko canadaUwiii hongera sana kitu unlocked kwa makonda huku wanauza sasa hiv milion kama 3 wengine mbavu za mbwa wanasubir atleast ikae kwenye 2.5m
Uko sahihi kabisa mkuu.Kutumia simu sio mafanikio, kila mmoja ana chaguo lake. Wako wanaopenda iphone, wako wanaopenda Samsung na wako wanaopenda Nokia kama Chief Mkwawa.
Sio kweli mm natumia Galaxy S8+ nilinunuaga just zilivotoka tuu almost 1.8M bila VAT...lakini sina hata kazi!
Sometimes dont get twisted kua na simu ya bei ghali haimaanishi mtu anakipato kikubwa....unaeza kukuta kasevu mwaka mzima anunue kipendacho roho ili ale nyama mbichi!