Kibonde wa Clouds acha dharau basi

Kibonde wa Clouds acha dharau basi

Hahaha shabk kapandsha mapovu. Miaka karbu 100 jengo gani lile nmakula hela tu hamuekez
 
Nimemsikilizz jionibhii akilizungumzia jengo la yanga linalotaka kupigwa mnada kiukweli sijamfurahia amejua na maneno ya kejeli sana eti anataka kulinunua afugie samaki huyu jamaaa
 
Nimemsikilizz jionibhii akilizungumzia jengo la yanga linalotaka kupigwa mnada kiukweli sijamfurahia amejua na maneno ya kejeli sana eti anataka kulinunua afugie samaki huyu jamaaa
Ugonjwa wake usiyo na tiba unamsumbua
 
Utani

Utani wa jadi akafanyie nje ya Clouds.

Hivi huyu jamaa alipata Div ipi mtihani wa Form Four? Ana dalili za kuwa na cheti feki
Ebu kwanza muangaalie mdomoni
 
Sasa uongozi wa Clouds ndivyo unavyotaka hivyo kuongeza chachandu ya kipindi kisiwe boring.

Kama hutaki sikiliza redio nyingine.

Unataka kuwapangia jinsi ya kuendesha kipindi chao?
Clouds na tbc hawana tofauti
 
Achana nae huyo Jembe la uongo amesahau kunywaa dawa zake
 
Mambo ya vyeti yangefika mpk huko Ofis binafsi wengi wangekufa kwa presha
 
Pia kuna yule mwenzie sijui nani amesema nae alinunue awe anauzia chapati atakazoziita yanga chapati.
 
Nampenda kibonde ni mchangamfu sana ukiacha weaknesses ndogondogo ambazo kila binadamu anazo
 
Sasa kama watu wana uhuru kutowasikiliza,tatizo liko wapi? Mjadala unaanzia wapi?
Kama unatumia kiungo sahihi cha mwili wako ktk kuongea umgemuuliza hilo swali mleta mada
 
Back
Top Bottom